Jamani naombeni mnisaidie jibu kwanini baazi ya wanaume ukimtumia msg za kukera yani ata kumtukana anakaa kimya alafu badae anakwambia vp unaendeleaje au umeamkaje
2026-07-20 06:26:15
47
Withs :
huyo umamtumia kasema ukwel
2026-07-19 17:30:10
17
jay**🫑 :
yan nimtumie ela ampatie nishati mtu wake ila amshone, nashindwa kuelewa
2026-07-20 12:01:29
40
Jeofry John :
jibu Kama joer
2026-07-20 21:33:04
6
() :
sikusiki nipo kwenye kelele
2026-07-20 16:38:53
8
Geayson :
joeli niilitamni Sana nijibu kwa niaba yko ila nimekosa sehem ya kutuma voice note
2026-07-21 08:14:53
8
Anord Js :
Hapa nijibu kama nani kama Joel au
2026-07-20 07:18:11
14
charming✨❤️ :
labd huy Joel so ninaye mjua mm mweny roho mbaya
2026-07-19 20:11:44
8
Joo@25!🌤🌤 :
why joel😪😪
2026-07-20 20:15:18
0
Tayson :
nachanganyikiwa mjukuwangu
2026-07-20 13:26:35
0
Gharib khamis :
Watu kwa kujiamulia mambo 😂😂
2026-07-19 15:29:53
5
Deo :
Mim mat us I nimeacha
2026-07-19 23:36:45
4
amoscharles45% :
Nashindwa kuelewa😂
2026-07-20 13:49:02
2
Ecoways Pildo :
namba yangu hujafuta tu
2026-07-20 21:34:55
1
micah26 :
hii movie siielewi hata
2026-07-19 23:50:58
3
VALENTINE :
hapo hupaswi kupanik maana utaharibu
2026-07-20 17:34:34
6
Joe💰 :
😂Watu wanasubiri jibu la Joel
2026-07-19 18:11:15
7
ROY JR🎮 :
aaaaah joel acha acha usijibu acha 🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 22:01:43
0
hazok :
nashindwa kuelewa
2026-07-19 22:17:18
2
lucky boy07 :
yan mem ningemjib hiv wew acha mmmzccbbwerty qwasababu huwez kuqqweryyop5532789vcbbvcx naxhindwa kuelew
2026-07-22 10:50:17
1
To see more videos from user @bad.girl7659, please go to the Tikwm
homepage.