@missfiahproducts_: Mwanamke wa Shoka 👌👌 Nimefanya deliver kwa mteja wetu @wakala_mkuu_cosmetics na kumpangia Bidhaa zake na Tukapiga na maombi ya Nguvu biashara yake ikawe na Baraka tela auze mpaka ashangae. FAIDA yakuchukua Product zetu tunakupa na Ushauri mzuri kuwekeza kwenye mitandao ya kijami ili uwafikie wateja wengi zaidi na #Carrymastory nakuja kukupangia mzigo wote BEI RAHISI UNAPENDEZA SANAA Body oil 30,000 Shower jelly 25,000 Sabuni 10,000 Serum 30,000 #Cherryna #missfiah #Carrymastory