hivi kwa nn hizi barabara zinazojengwa haziigi mfano wa hiyo barabara ya jangombe... barabara ya kinazidi - muembe ladu - kariakoo hadi kilimani ni uchafu
2026-07-19 17:02:41
4
Kamwene decoration :
hii ni bara bara ya jangombe
2026-07-19 16:04:26
7
MUJTABAH🧠 :
kwamchina kuelekea jang'ombe
2026-07-19 12:13:49
11
mfamau # :
kampuni tofauti labdaa
2026-07-19 18:45:57
1
sultan pengo :
kwan ulipo chukua video ulikua wap
2026-07-20 11:55:23
0
Ismael Hassan :
hiii ndio bara bara iliopendelewa zanzibar nzima 🥰
2026-07-19 16:37:41
3
HADHIR /SNIPER :
kwa mchina jangombe
2026-07-20 15:04:11
1
tomey_amigo :
vp kwan umepotea au km umepota we tafta mskit kwenye hiyo barabara watakutangaza 😅 ila hapo ni j'mbe 🥰