Asanteee Mchungaji kwa fundisho hilo
ubarikiwe sana
2026-07-27 13:11:30
1
Schrodinger :
am an Adventist, and a Manchester united fan
2026-07-25 18:53:52
1
le grand adamas 01 :
mimi ni msabato ila ni shabiki wa mpira na messi
2026-07-25 01:34:29
1
🦋Baby soft💞 :
kiukwelii hapa dunian kila kitu nidhambi ila me nikitazama simba na asenarl naona kama Mungu ananisamehe dhambi zangu zote
2026-07-30 19:42:24
1
Mathayo john :
sio dhambi, ila ikizidi inakua dhambi, usicheze mpira Wala usiangalie mpira kwanzia ljumaa jioni Hadi jumamosi jioni, na jumatano saa kumi na Moja jioni Hadi saa kumi na mbili jioni, siku zingine fursa ila ila sio muhimu, jilinde na uraibu na kama Kuna semina kanisani nibora uende kanisani
2026-07-24 17:41:40
3
Lupama :
siyo dhambi isipokuwa tu pale mpira utapewa kipaumbele kuliko Mungu.
2026-07-26 08:56:07
3
ABWE SALIMA :
maneno yako yanatoa mashauri
mazuri mtumishi wa Mungu,
ubarikiwe
2026-07-26 18:13:06
0
Jackson Lucas :
mmeisha
2026-07-25 12:05:19
0
robati hamza :
hii ndio raha ya kuwa na wachungaji wasomi wanaoelewa kucheza na nyakati
2026-07-28 13:25:13
1
nonchalant :
tatizo mapokeo yanapotawala fikra za waumini wengi,cheza mpira kama unakipaji ila usiroge
2026-07-27 11:52:30
0
mr.Evans :
je wachezaji wa mpira ni watenda dhambi? maana mpira hujichezi wenyewe
2026-07-24 20:08:09
1
sirshijathegreat :
Kwani mpira siyo kipaji, vipi kipaji iwe dhambi? mbona kuimba na kucheza hamsemi kama dhambi?
2026-07-26 18:17:30
0
annasirguda :
na mchungaji max wa yanga itakuaje sasa🫣😂😂😂
2026-07-25 17:26:38
0
Steve Marash :
mimi msabato na nashabikia Liverpool lakini siwez kosa hamu ya chakula ati sababu tumefungwa
2026-07-26 09:49:21
1
Matho Kuboja :
kwasababu utaacha sabato unaeda kwenye mpira@@
2026-07-24 16:45:42
2
pangraminvestments :
Kwanza tuelewe maana ya neno dhambi
2026-07-25 07:04:26
3
Johnaldo :
pastor unazunguka sanaaa ukweliii ni kwamb sio dhambii
2026-07-25 21:48:20
0
selemanibwire861 :
nikipata andiko toka kwenye biblia linalosema ni dhambi sawa .ila kama hakuna andiko tuache ngonjera.
2026-07-30 07:39:27
0
petermosha3 :
yanga yangu kama nidhambi imeisha
2026-07-25 13:42:08
0
MO SAMAKI 🐟🐠 NA DAGAA Mwanza :
Barikiwa Pr Bihene
2026-07-27 12:39:06
1
JohnLee :
vema sana
2026-07-24 16:43:47
1
To see more videos from user @barackisaya249, please go to the Tikwm
homepage.