👍👍🤝🤝🤝🙏🙏🙏 dah kaka mungu akubaliki sana jani umeheleza vizuli kabisaaa yani adi nimeisi🤣🤣 kama nimejua ata bila kulishika kabisaaa yani maerezo matuli kabisa
2026-07-25 13:34:35
4
queen❤️ :
Mwanangu anataka kuendesha hiyo midude na kuwa fundi pia ushauli jamani
2026-07-25 05:06:00
1
telesa🦺 :
naomba unifundishe kaz bc
2026-07-20 15:24:55
1
kitambi umeme :
uko kote mbali mwalimu ungeanza naye na ishu za ukaguzi wa chombo kama kucheki maji engine oil hydrolic kipiga grisi usafi wa mashine nk⚙️🛠️⚒️🤜🤜💪💪
2026-07-20 14:47:32
3
Op Halima :
unapenda kujiamulia mambo 😂😂😜
2026-07-23 02:59:50
0
juma :
shingap kk kujifuza
2026-07-24 07:08:36
0
✖Rɪᴅᴇʀ~Sᴇᴘᴛᴇᴍʙᴇʀ☠👑🍁 :
bro naomba ufundishe na CAT excavator
2026-07-24 04:51:37
1
Ayra ELLYPESA :
BRO UNAJUA KUFUNDISHA HONGERA
2026-07-24 04:19:27
1
perfect covd 19 :
kaka me op wa foko nataka kujifunza
2026-07-24 07:11:55
0
Matheo David :
kaka kati ya hiyo mashine na ile mashine ya jembe katikati ipi nzuri kujifunza zaidi nayenye ajira ya haraka
2026-07-28 10:13:52
2
@uchumifresh.com :
Mungu akupe uhai mrefu wenye afya tele
2026-07-25 19:31:13
0
Shabani Ommary :
Taja vizuri jina la mtambo op unashusha brand
2026-07-26 06:57:54
0
Raphael :
mbona kama nshajua naombeni Chuma jmn 🤣
2026-07-24 17:00:57
2
Dastan JR :
mzee mm nahitaji kwa udi na uvumba kwahy tunafanyaje mm nije?
2026-07-20 18:55:06
0
imxthboy :
Nakubali sana brother hii ndio maana ya roho safi 👊