@kamsha583:

kamsha
kamsha
Open In TikTok:
Region: CA
Sunday 19 July 2026 12:24:30 GMT
170240
9990
675
433

Music

Download

Comments

zuri.fatih.kinyag
Zuri Fatih Kinyago :
Mtu awezi kuua Bila sababu bhana sema wazazi na ndugu zetu wanatuludisha Nyuma sanaa alafu ukiangalia pesa zetu ngumu Sana adi tunavyo zipata
2026-07-19 18:45:17
436
mkolinto1
the vibe :
tulioko upande wa muuja tujuane
2026-07-20 06:51:11
200
techfussion1
TECH FUSSION :
Niko upande wa adui wazazi wamezingua
2026-07-19 23:31:53
149
user4978751814009
18/6/2026 :
mimi nipo upande wamuuwaji staki kuskia chochot kuusu muuaji😂😂
2026-07-19 20:48:31
308
naturalbeautiful030
Being🥰vinnie🥰🥰 :
Very sad is not that easy 🥺🥺
2026-07-20 08:31:12
1
narasha.collection
Narasha Collection dubai :
pesa ya nje inauma sana🙌🙌🙌
2026-07-20 01:17:02
37
tujengesote1
baba nairah :
ila hili nifunzo kwa. wazazi wengine.
2026-07-20 01:00:05
49
user8236557308699
Aunt nana♥️♥️ :
uyo shangaz uyooooo tutamfatilia
2026-07-20 04:21:55
54
prettyfettyh
Fetty🦋 :
Mimi naona mwenyekiti anachuki na Suma haiwezekani anamkandia kiasi kile
2026-07-20 06:08:33
38
husnamohamedi71
Mamy isti :
sijuh kwann familia ndo sehem ya kwanz kutuanguasha😭 moyo wake umejaa maumiv yule kaka imain yake ikapotea akakumbuka jinsi anavyotafuta ela yake
2026-07-20 03:48:09
34
essie3380
Essie🦋🦋🦋 :
Finish
2026-07-19 21:38:41
1
comdaretz
Comr Ade :
sure bro
2026-07-19 22:31:27
3
babumihambo
Mihambo Jr@ :
fact bro point 🫡🫡🫡🇹🇿
2026-07-20 08:37:25
6
georgejohnson561
🇿🇦 G ms@f!..🐐 :
chair Man yuk sahiii
2026-07-19 14:50:55
1
malume.njou
malume njou :
umeongea kweli brother maisha ya nje noma zaidi ya depo
2026-07-19 12:56:40
72
paskalinagadiye
linah :
Muuaji aliyependwa na watu
2026-07-20 10:25:27
11
user1304365753499
user1304365753499 :
kweli kabis
2026-07-19 22:45:38
8
maimunachapo
munnah stylish 👗✂️ :
nayule mwenyekiti alikuwa anaongea kwa chuki kweli wallahi
2026-07-20 08:47:41
14
teddymamafrica
Teddy (mamafrica) :
nko upande wa adui... sometimes wazaz wanazingua
2026-07-20 08:01:01
15
mama.nay853
mama nay🇹🇿🇴🇲 :
kaka nakuelewa Yani family zina shida sana tunafanya kazi uku nnchi za watu wazazi ndo shida mim nipo oman nililudi akuna kitu ila kwavile mzazi niliishia kuumia tu ila mtu mwingine ajui kweli kaka tunateseka
2026-07-19 20:09:49
89
deborahlinah2
dedeh Tz :
hela inauma sana watu wanateseka sana ila yule broo kakosea
2026-07-20 04:21:32
32
bestnaso1
Mrs. best naso :
Kwan unaenda wap jmn maana sikwelewi Upo kwenye gar au boda 😂😂
2026-07-20 05:08:53
45
ayka.muhammed
Ayka Muhammed :
ukirudi bongo nambie tukutane katoro geita usije dar😂😂
2026-07-20 07:26:55
8
user47513983788140
lizzy :
Uko sawa kaka hawezi kuua Bure wamemkosea
2026-07-20 04:44:47
7
user6677304593800
Ferdinand Shubi :
Kweli kabisaa familia inajua ndo maana wanajifanya kugomba sna hta maneno ya shangazi sikuyapenda kabsaaa .
2026-07-20 04:41:16
20
To see more videos from user @kamsha583, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About