@joy_johjoh: #joytotheworld #foryou #chapati #beef #fyp

Joy to the world
Joy to the world
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 19 July 2026 12:37:13 GMT
308047
24103
740
809

Music

Download

Comments

sisqo_1
sisqo_1 :
can I be your fundi ata kama mimi sii fundi
2026-07-29 04:00:22
0
raphaelgigz
Aleko Gigz 🇰🇪 :
how many fundis kwani
2026-07-29 14:53:43
0
shikowilson54185988347
ShikoWilson :
Considering changing career😂, wow! What a grace
2026-07-30 10:14:02
0
rotich261
Rotich :
Ulisema ni mafundi wa nini kwanza😂😂😂
2026-07-19 15:33:09
879
mary.muremba
Mary Muremba :
Kuna vacancy ya kucount misumari?😂
2026-07-19 14:44:03
1960
jaynemuthoni888yne
Jayne Muthoni888 :
kuna job na niko serious Mimi any
2026-07-29 09:48:43
0
claraclara6009
C-C :
walikwambia nyumba watamaliza 2030? 😂
2026-07-19 17:16:35
435
kevincaptain1
Kevin Captain🇰🇪 :
When I grow up I want to be your fundi
2026-07-29 17:02:27
0
user8043964568046
Quencie💕 :
fans walisema fundi ni husband na brother in law 😂😂😂
2026-07-19 16:02:04
332
jack__mech
Joakim :
Hapa kuna mshahara kweli 😂😂?
2026-07-19 14:55:22
197
honjeremiahwafula
Honjeremiahwafula :
Tuko hapa Na mdosi Wangu tunamjengea pia nmemwonyesha hii akasema Ni Prokopanda😏
2026-07-20 11:05:34
111
danwandu5
Dan Wandu :
Mimi ni fundi wa rangi....
2026-07-19 13:50:05
96
viatu11
IMPORTS BY CATE :
hizo chapo zote.....ungewapee mbilimbili
2026-07-20 15:33:23
11
charitymbai811
Poultry palace pure kienyeji :
mafundi pia wapikiwe pure kienyeji chicken we are located at syokimau we deliver within Nairobi
2026-07-20 10:29:44
5
itsghostingold
Ghostingold :
hapa kazi ya wikii nachukua mwezii
2026-07-19 16:37:06
46
manchesterunitedgirlfri1
Jackie❤ :
Hawa mafundi hawatawahi maliza iyo kazi😂
2026-07-20 14:42:37
49
precious.gennie6
precious gennie :
Hawa watamaliza kazi hivi karibuni kweli?😂
2026-07-21 04:54:19
11
shiru.daisy
Shiru Daisy :
hawa mafundi wanajenga nini
2026-07-19 18:27:20
19
miss_hassan003
Mweni Hassan🇰🇪 :
Fundi.... 😳😳 chapati..... si watafanya kazi 1 hr waskie njaa tena... Mafundi wanataka chakula mzito kama ugali ama Nyoyo.... kitu itashikilia tumbo
2026-07-19 19:15:27
32
sethjason_
𝖑𝖆𝖜𝖊𝖘𝖙. 𝕮£0 :
Bana hawa fundi wanakula smart sana😹
2026-07-19 12:41:22
18
aoronshylkegodese
Aoron Shyl Kegode Serede :
Ukienda kazi Central utangoja sana hata maji ya kukunywa huwezi pewa.Ukambani Nzoo na muthokoi itakuua🤣🤣🤣
2026-07-20 10:11:28
32
barasmfk73a
barasa nick @586 :
uliza hao mafundi wanaeza taka mtu wa mkono, mm hata sitaki wanilipe😂
2026-07-20 12:14:03
12
To see more videos from user @joy_johjoh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About