@255trendsupdates: UNGEMFANYA NINI HUYU?

255trendsupdates
255trendsupdates
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 12:38:13 GMT
259652
5384
216
1498

Music

Download

Comments

user7414141365436
grac 🔥🔥 :
walioangalia mara mbili nakucheka tujuane
2026-07-20 08:29:36
97
marth.bebe
Marth Bebe :
au na mi nitumie njia kama hiyo maake leo hapasomeki hapa😂😂
2026-07-20 06:01:41
74
philimena.msimbir
Manka top 🥰 :
🤣🤣🤣 Ningekimbia kama yeye
2026-07-20 04:50:54
32
krthm9tz
krthm😋 :
ngoja na me nikajarib ferry maana cjala samak karibia mwaka huu🤣
2026-07-20 09:25:16
15
yonaswenya
yona :
🤣🤣🤣🤣🤣 gudu bai nashindwa kuelewa
2026-07-22 12:47:22
3
roidasa
fetty💋love :
hapa si mbezi jaman
2026-07-19 20:55:38
14
hidaya9816
hidaya :
Maisha magumu jamni bila kujizima data hayaendi 😂😂😂😂
2026-07-20 08:52:26
13
user7540673185328
Agness :
😂😂😂 alivyokimbia sasa
2026-07-20 03:27:37
7
edwardmalundi
EDWARD A.M.M :
huyo aliyeibiwa samaki ni mjomba wangu 🤣
2026-07-20 17:34:50
2
cute_aysher1
Aysher1 :
Tena alivyojua kuchagua aliyenona😂😂
2026-07-20 09:00:14
7
kb_boy_900
nanou :
Kwani aliemfata hepo kafanya nini
2026-07-19 18:21:26
6
kizuri88
rehabu......me...! :
uwiiiiiiiih 😂😂😂nimecheka mpk nmekojoa hapna jmn
2026-07-20 13:35:58
1
blakbeauty26
Blak beauty❣️❣️ :
😂😂😂jaman nachoka mimi
2026-07-20 03:46:33
5
user9850261154040
mariam :
Nimecheka kama mazuri
2026-07-20 05:46:34
5
user1591965858424
mamy Rashimi :
🤣🤣🤣 nimecheka mpaka majirani wamenisikia
2026-07-20 07:32:03
5
maryamhussein712
شازيا :
Muna fudisha nn watu au njia zakuiba
2026-07-20 09:06:27
2
difendaandrew3
Gianna's dadie🫡 :
wewe ungefanya Nini
2026-07-19 20:17:05
7
user17329737266244
user17329737266244 :
kwanini achukuwe samaki mkubwa
2026-07-22 11:19:12
1
0617018020mo
makoka MO :
Kali snaa hiii bro
2026-07-19 16:22:49
5
sejustajuma
Sejuh_Outfits :
Kila mtu atachanyikiwa kwa wakati
2026-07-22 16:00:55
0
wanyongee.tz
wanyongee tz :
nakubalii uyoo mama tuu
2026-07-23 07:44:56
0
To see more videos from user @255trendsupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About