@edutalktz:

Onesmo Mushi
Onesmo Mushi
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 19 July 2026 13:21:24 GMT
96931
3225
72
163

Music

Download

Comments

edutalktz
Onesmo Mushi :
Ndio utapeli unaofanywa na wanasiasa wa Tanzania, kila kitu ujanja ujanja. Elimu ya juu imegeuzwa kuwa tissue paper, inapangusa upumbavu wa watawala tu. Chukulia mfano Mwigulu Nchemba. Wakati anafanya PhD pale UDSM 2012 - 2017, alikuwa pia Mbunge anayehudhuria vikao vya Bunge Dodoma, Mjumbe wa Kamati za Bunge za Bajeti, Katibu wa NEC wa Uchumi na Fedha, Mhazini wa CCM, Naibu Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, na Waziri wa Mambo ya Ndani. Chuo Kikuu cha Daresalaam kinatuaminisha kwamba wakati Mwigulu Nchemba anatekeleza majukumu yote haya aliweza pia kupata muda wa kujiandikisha kama mwanafunzi wa PhD full time. Yani wakati anatekeleza majukumu yote haya, aliweza pia kuhudhuria vipindi vyote na kukamilisha coursework, akapata muda wa kufanya tafiti, kuchapisha makala, kuandika dissertation, halafu kama haitoshi, akamaliza yote haya ndani ya miaka mitano na kutunukiwa PhD. Unless haufahamu what it takes kufanya PhD, huu ni muujiza wa hali ya juu. Hata hivyo haishangazi kwa sababu ni UDSM hii hii iliyompa Samia PhD ya heshima mara baada tu ya kuingia madarakani.
2026-07-19 20:18:58
53
msukumawakatoro12
Msukuma Wa Katoro :
Elimu sio vita mzee
2026-07-19 20:09:56
20
user4442662362010
hilly jose :
NIMESOMA SUA DEGREE YANGU YA KWANZA 2013 MPAKA 2016 LAKINI OPEN UNIVERSITY NI NGUMU ZAIDI KULIKO SUA YAANI VYUO VYA FULL TIME NI AHUENI COZ OPEN UNIVERSITY UWA INAHITAJI JITIHADA MARA MBILI ZAIDI YA FULL TIME NA STRUCTURE ZA MITIHANI YAO NI NGUMU ZAIDI NA UNAWEZA UKAJIKUTA PROGRAMME YA MIAKA 2 WEWE UNAISOMA KWA MIAKA 5 MPAKA 6
2026-07-20 05:07:30
9
gastondaniel34
Kwebeke@ 2000 :
KWANZA NI CHANGAPI TZ KWA UBORA?
2026-07-20 03:34:31
3
243fizi
BIG DADDY.COM :
Jameni Hii Picha za Waziri Mkuu Inafanya nini Hapa ?😳
2026-07-22 06:10:06
2
victoria.gl20
Victoria GL :
kwahiyo sua Haina courses za executive? mbona vyuo vyenye high ranking kuliko sua tunasoma na wakati huohuo tuko mzigoni, juzi Dr Nsekela katumukiwa PhD unisa alikaa darasani lini?
2026-07-19 20:48:13
3
user9518149805023
user9518149805023 DEKO.ND :
mimi nimechukua degree ya kwanza UDOM aisee tuwe wakweli degree ukisoma ukiwa na mambo mengi hutoboi tenq bora masters degree ngumu kuliko masters
2026-07-20 16:59:13
2
user1099570719718
Mabrouk :
mbona sikuzote hamsemi mshapitisha wengi wanatusainia mikataba hawajui wanacho kisaini nyie ndo tatizo mnatuzalishia matikiti mengi sana watoto wangu wataishia lasaba
2026-07-20 05:00:15
0
hktick
HK :
This is admirable
2026-07-19 14:22:45
0
demalco
Demalco :
Phd ya heshima n kwa kila Rais kwa sababu ndio mkuu wa Chuo UDSM lapda akatae mwenye au kama Magufuri alimpa kikwete Ukuu wa chuo
2026-07-20 09:52:18
1
sagranjr
Sagranjr :
Ukweli ulotukuka kabosaa
2026-07-20 17:40:43
1
arch.victorzacharia
@arch.Jacaranda17 :
sure 100%
2026-07-21 09:12:58
0
jonamnyone
alpha one :
Nakumbuka Prof. Mwandosya aliwahi kusema anashangaa watu wapo kazini full time wanafanya PhD. bila kuchukua likizo!! Kwa kweli hizo ni PhD fake yawezekana wanalipia watu ili wawafanyie wakati wao wakiendelea na kazi.
2026-07-21 19:55:15
1
mr.osaze12
Osaze :
🤣🤣🤣 utaharibu CV
2026-07-20 13:18:57
0
munir.daniford202
Munir Daniford2023 :
Ndo Nchi yetu iyo
2026-07-20 11:46:43
0
victoria.gl20
Victoria GL :
hiki chuo ni mahususi kwa ajili ya masuala ya kilimo na mifugo, Sasa faculty ya humanity ni kwa ajili ya kifundisha taaluma ipi? wanafundisha animal behavior?
2026-07-21 10:07:32
0
dios_kory
Legend !🇹🇿 :
Prof umenyooka sana ,Salute !!
2026-07-20 07:38:47
9
hemedykipande
KP CHIMBO Nails 💅 :
nikweli utapeli nimwingi baba
2026-07-19 23:17:08
1
brandin2006
user61940174288770 :
true
2026-07-19 23:21:55
0
will_23c
willcj1 :
nakubari prof
2026-07-20 16:12:43
0
wilfred.kihaka
Wilfred Kihaka :
Leo umeongea ukweli swala hilo linasababisha kupata viongozi fake sana wenye uwezo mdogo sana katika kuongoza. hii linaleta matatizo makubwa kuongoza uchumi wa taifa lolote lile duniani
2026-07-20 06:35:20
0
daddy.jayjay
Daddy Jayjay :
Nadhani tumeelewana sasa kuhusu UD
2026-07-22 15:05:28
0
g_emmax
👑 smart 💎🕷️ :
mbona vitisho na mikwala ni miiingi 🤬🤬🤬
2026-07-20 00:04:57
0
To see more videos from user @edutalktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About