@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Ameendelea Kuwakumbusha Wanandoa hasa Upande Wa Wanawake Akisema Ni Vyema Mke Anapokua Ndani Ya Nyumba Asiwe Kambi ya Upinzani Kwa Maana Ya Kutomuunga Mkono Mume Wake Ndani Ya Nyumba hasa Kutenganisha Umoja Uliopo Kati ya Baba Na Watoto Wake