@mrsibandukikwayesu: WOKOVU SIO KUAMA KANISA #Mch, Sibanduki kwa Yesu #gospel @Espérance katembo

MCH SIBANDUKI KWA YESU
MCH SIBANDUKI KWA YESU
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 13:24:03 GMT
102948
5100
282
733

Music

Download

Comments

johnlawi1994
Johnlawi :
Amina nikweli kabisa wokovu sio kuhama mazehebu
2026-07-20 08:04:10
25
jamesncheye5
jamesncheye :
kuhama kanisa Kuna saidia Kuna makanisa yameoza yananuka!🙏
2026-07-20 18:50:29
11
user3354504357029
Jackson :
very true. but some they shift bcz of certain issues 1Corinthians 15:33 5:1-13 2Corinthians 6:14-18 revelation 3:1-21 Proverbs 13:20 . not only sin. I love your preaching, ubarikiwe Sana🥰🙏🙏
2026-07-20 11:58:03
6
mch.lukansola
MCH LUKANSOLA :
Amen
2026-07-22 05:23:47
1
ma.g8390
ma g :
wengine wanahama changamoto ya wachungaji akipata washilika wapya wazaman wabaya au ukipunguza kutoa 😭😭
2026-07-20 06:24:48
7
dotoh0807
mashotohdotoh :
mda mwingine kuhama kanisa sio kwamba ni kuokoka lakini watu wanahama kwa sababu ya mwienendo ya kanisa alivyoiona mfano kanisa linaweza likawa halikatazi wanawake kuvaa nguo zisizostahili au kanisa kutokufuata maneno sahihi ya mungu. kwaiyo kuhama kanisa sio kosa kwa mtu yeyote, kwaiyo ndugu zangu kama umeona kanisa halifati yaliyosahihi kwa mungu unastahili kuhama tuu kuliko kuangamia na wasiofaa
2026-07-20 11:16:09
6
josephat.mutasing
JOSEPHAT MUTASINGWA :
injili ya kweli ina kuremba ya POKEAAAA!!! hapo Yesu yupo kwelkweli asante yesu kwajili ya mtumishi wako uyu umlinde dhid ya mwovu
2026-07-20 04:44:35
6
venanceemanuel
baba D :
barikiwa popote ulipo mtumishi wa mungu
2026-07-22 03:58:43
3
evva3827
baby face cp :
unamaanisha hta ukiwa mwislamu unezakua na wokovu? nisaidie hili
2026-07-20 09:49:21
1
rajabu.hussein47
Rajabu Hussein :
kwani dhambi gani tena si tumekubaliana yesu aliondoka nazo au
2026-07-20 08:46:53
1
rinda.andrew
Rynd mg🧁 :
mungu akutie nguvu mchngaji lkn tik tok cyo nzuriii kwawatumishi wamungu
2026-07-21 20:11:11
1
ev.emmanuel.sinya
Ev Emmanuel Sinyangwe Mlimani :
Amen sana kaka
2026-07-21 15:38:41
0
user5654000236861
kambi la waebrania :
ubalikiwe ktumishi
2026-07-20 04:28:28
0
sircharles297
Sir-charles :
kweliii mtumishi wa Mungu
2026-07-20 05:04:33
4
user141582924019
user141582924019 :
aimeni baba tumepokea
2026-07-20 05:03:30
1
ba_abigaili
Ba abigaili :
Amina 🙏
2026-07-19 18:04:30
1
user3087724281596
joycerichard :
Nmekuelewa sana mtumixhi na hiii imepenyaaaaaaa!!!!! baba
2026-07-20 04:25:40
1
user26785163102196
Orofandy :
Amina mtumishi ubarikiwe sana na BWANA
2026-07-20 08:17:09
0
ffmakundi
GMF :
Nikirudi kwenu mtaniruhusu kula 🍻 kama RC??
2026-07-20 13:44:44
0
user7053743279933
mwaju 💞💞💞💞 :
hahahass😅😅😂😂😂😂😂😂🤣 ila pasta inatosha jamani ndio uniseme mimi nasaiz nimeslim naitwa mwaju 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-07-20 08:09:29
0
makala856
makala :
wengine wanahama changamoto za wawijilist
2026-07-20 08:11:36
2
user288254543796
user288254543796alexswai :
ameee
2026-07-20 02:35:45
1
angelbenkazy
lisabella :
huyu ni mimi 🤣🤣🤣😅Nahama mno makanisa ,,🥲
2026-07-20 07:17:28
1
To see more videos from user @mrsibandukikwayesu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About