@tanga_tanzania: SHEIKH ASIBITISHA YA KWAMBA SHEIKH WALID ALIMUOWA MWANA MAMA BELLA

TANGA TANZANIA
TANGA TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 13:37:21 GMT
53184
2186
146
106

Music

Download

Comments

user5805384100727
niyonzima :
naomba unibrock😅
2026-07-19 20:20:34
0
january.vivo
January Vivo :
Allah akulinde
2026-07-19 20:00:19
0
mrs.r345
Power of GOD :
🤲🙏🤝Asante saana Allah akulipe heri
2026-07-20 11:49:35
0
icaka.skago
Icaka Skago :
gonga like kama unamkubali shekh walid na unapenda awe mufti anae fata
2026-07-20 05:43:15
21
teema_deweys1
Teema_Dewey's 💞🦋 :
me naomba mniblock wallah hili jambo linaniuma as if yanamkuta baba anguh🥹🥹
2026-07-19 21:13:52
2
issa.hamisi14
Issa Hamisi :
sas mwana mke anasema hajawah kuwa mke wa sheikh walid
2026-07-20 12:24:55
1
africast35
half caste :
kwanza hii media gan
2026-07-19 16:45:12
12
amri.kalyango
Amri KALYANGO :
Shekh alimuoa sawa... vip inaruhusiwa kuowa wake zaidi ya 4.
2026-07-19 20:35:37
6
zai_ngasinda
zaingasinda195 :
kama anko T
2026-07-19 16:19:03
5
maryamhaji1915
Mamu😘😍🥰 :
Alhamdullah Asante sana kakaangu kwa kutuakilisha tulikua tuna shindwa kupaza sauti zetu Alhamdullah Allah Akuhifadhi na sharizote inshallah 🙏
2026-07-20 04:54:53
4
mungu32
neemadavid935 :
Sasa tumuamini nani ,mwanamke sijawahiolewa,mwanaume nilimuoa,Sasa hapo tumwachie Mungu maana dunia Ina siri
2026-07-20 04:18:49
1
muhsinmohamed13
Muhsin Mohamed :
shk umeongea vizuri .lkn shk wangu Allah akimpenda mja humletea mtihani ili kuipima Imani yake..Lakini huenda Allah tabarak Allah wataala ameon Shk wetu Shk Waleed anastahil kupata nafasi mkubwa zaidi ya hiyo tusubiri Allah Huwa hamtupi mja wake..Na wote waliotengeneza fitna hiyo Allah awasameh ..Asalam alykum warahma tullah wabarakatu
2026-07-19 15:10:20
13
mussa.ramadhan42
Mussa Ramadhan :
Allah akulipe kher shekh wetu ww ni mtu wa pepon ukweli mtam TAKBIR ALLAH AKBAR 🙏
2026-07-20 08:51:06
1
shaban.mngazija
Shaban Mngazija :
Mimi mpaka sasa hivi najua shekhe wangu ni shekhe Walid
2026-07-19 22:16:40
5
jamila.kaduma
Jamila Kaduma :
icho cheti kinaonesha alimuoa mwaka juz 2024 aiwa na miaka 57 kwahyo saiv sheikh walid ni kwel ana mia is 60,hiv watanzania ni kwel?
2026-07-19 22:04:39
2
user82865198361171
IRONY LADY :
umepngea kwa hekma sana baba nmekuelewa sn sio bure ana watu nyuma huyu dada na hap viongozi wa basata wanajua ila ALLAH stamlipia shekhi
2026-07-20 04:01:08
3
tahiya.ahmed.ibra
Tahiya Ahmed Ibrahim :
hajatendewa haki shee wetu
2026-07-20 07:31:03
2
dukajipya_
DUKAJIPYA :
wew ulikuwepo?
2026-07-19 20:26:21
0
user6779584238556
user6779584238556 :
sheikh rajabu salum huko sawa
2026-07-19 15:54:33
0
ativankhatib
Ativan Khatib :
WALID NDIO SHEKH WETU NYIE BAKWATA MSITUCHANGANYEEEEEEE
2026-07-20 04:14:27
1
mkata.umeme15
Mkata Umeme :
Ulikuwepo Ulikuwepo
2026-07-20 04:12:56
2
edina7891
Edina :
Nyie ma shehe mnatuchanganya na nyie kama hamjielewi vile,, mbona yule Dada nimemsikia a nasema hakuolewa naye? Hii kesi Isha kuwa ngumu
2026-07-19 21:01:53
0
user716944775
سلمي :
hapo ni mtihani mkubwa sana sana allah ampatie subra shekhe walidi
2026-07-19 20:23:30
2
user5868734239007
SAMATTA 10 :
nenda kwenye point nataka nitoke TikTok
2026-07-19 15:20:26
3
To see more videos from user @tanga_tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About