@ostazjuma: Wanaosema Sheikh Walidi ametetewa na wahuni, haya ndiyo majibu yao. Tena wawe na adabu kwa Masheikh. Nenda YouTube OSTAZJUMATV ukatazame nondo za kufa mtu. Hakikisha umesubscribe, umebonyeza alama ya kengele, umelike na kushare kwa wengine.

OSTAZ JUMA NAMUSOMA
OSTAZ JUMA NAMUSOMA
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 19 July 2026 13:50:51 GMT
15091
725
78
31

Music

Download

Comments

sharifa.seifu
sharifa seif :
wasiwe n wivuuuuuuu
2026-07-20 15:45:56
0
nassoromrisho811
choloboy :
mashaalla
2026-07-20 16:10:08
0
ally_omary2
Babaa :
Asante
2026-07-19 15:30:36
0
thesamoxexperience
THE MOSAF EXPERIENCE 🇰🇪🇹🇿 :
Hao wanaoonekana wahuni huenda wakawa Bora kwa Allah kuliko hao wanaoonekana wema kwa macho yetu
2026-07-19 16:54:33
32
mtakatifujoseph2
MTAKATIFU JOSEPH :
sio upendo ni unafiki
2026-07-19 16:41:33
3
user55166559475
mamamunira :
na wahuni ndio wanaobeba jeneza na sio wanafiki upendo wao ni wakweli
2026-07-19 20:26:45
5
fatmamikpot250
Fatma Mikpot :
fantactik
2026-07-19 17:19:39
0
mwaj782
MwaJ :
kweli kabisa
2026-07-20 05:39:56
2
_.bamsibey
BAMSI BEY⚔ :
kabisa walid baba lao
2026-07-19 19:24:13
7
sulhiyamusa
💞💞lovelypink :
Yani wewe juma nimekusamee yote Kwa kua upo pamoja na sisi ktk kusema ukweli kuhusu Wallid mana nilikua nna hasira sana yaliyopita kuhusu kishki ila nimekusamee
2026-07-19 17:37:41
6
africanculture25
africanculture25♈️ :
safi kana kaka . mitume wote na maswahaba wote walikuja kwa ajili ya jamii iliyo potea , nabii ISSA(Yesu) , mtume Muhammad , MUSSA , NUHU nawenguneo . kwahiyo ata walid yeye ni kiongozi wa dini kazima awe karibu na walio potea ili awarudishe wawe sawa .🔥
2026-07-20 09:22:10
2
khanmd208
@MD@KHAN🦺🦺 :
nikwel ukiwamkweli lazima watuwakuchukie👍
2026-07-20 09:42:32
1
lilu.class
Lilu class :
mtume Mohammed s a w had mawe miti wasio waislm pia walimtetea Sasa kosa liko wapi
2026-07-20 09:39:56
1
kagema95
Kagema :
Mm ni mkristo lkn nampenda Shekh Walid kwasbb ya mienendo yake ya neema kwa watu wote
2026-07-20 08:25:58
1
user7269622601439
Mouna shabani :
sheikh juma wamsoma tuna shukuru sanaa Kwa kumtetea sheikh wetu walidi Hana ubaya na mtuu💯💯💯❤️❤️❤️❤️
2026-07-19 20:10:42
3
hudhaifa..90
Hudhaifa __10 :
Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wadhatauliwa wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu. 49:11 Qur'an 📖 ✍️
2026-07-19 20:08:20
3
majimotodaughter
majimoto daughter :
tena wajiheshimu kabisa wanaosema ujinga
2026-07-20 07:41:21
1
me990723
Me. :
yaani leo umeongea maneno mzuri saaana maisha llah
2026-07-19 16:13:54
1
hudhaifa..90
Hudhaifa __10 :
Ikiwa Mungu anampenda mja, anamwita Jibrili, akisema, “Mungu anampenda fulani, basi mpende.” Kisha Jibrili anampenda na kuwaita wakazi wa Mbinguni, “Mungu anampenda fulani, basi mpende.” Kisha wakazi wa Mbinguni wanampenda, na kisha anakubaliwa duniani. Imesimuliwa na: Abu Hurairah | Imeripotiwa na: Al-Bukhari | Chanzo: Sahih Al-Bukhari Ukurasa au Nambari: 3209 |📚 Uainishaji wa Hadithi: Imesimuliwa na Al-Bukhari (6040)📚 na Muslim (2637)📚
2026-07-19 20:14:35
2
maria.godwin15
Maria Godwin :
waache husda
2026-07-20 09:58:02
0
modymzurii
Modymzurii🇰🇪 :
💯💯💯
2026-07-20 12:05:55
0
abdunurusimkwasa
Abdunuru Simkwasa :
Nimekusoma Vizuri Ustaadh Juma na Musoma
2026-07-20 10:39:44
2
fearmen95
ALHMDULLILAH🤲🏻 :
Kusema ukweli nani alikua anafatilia sheikh yyt wa mkoa kama sheikh Walid alivyofatiliwa??
2026-07-20 10:51:39
0
abdunurusimkwasa
Abdunuru Simkwasa :
Huwezi kuzuia Kudra za Mwenyez mungu kwa Shekh Walid
2026-07-20 10:41:37
1
rafikdahalane
rafikdahalane :
Masha Allah
2026-07-20 11:56:53
0
To see more videos from user @ostazjuma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About