Wafugaji hawawezi kuchinja Ng'ombe kizembe wakuuzie kwa bei rahisi.tulioishi na wafugaji tunajua.huyo ng'ombe itakuwa alikuwa mgonjwa ambao hawezi kupona, kagongwa na nyoka au kafa ndio watachinja wakuuzie nyama.
2026-07-22 08:38:24
41
✨ Shuhy💫 :
10/10
2026-07-25 15:39:13
1
fetty misana :
nimenunua robo sahiv nakula usiku na mchana na niko na mme wangu na mwanangu aibu utaona wew😂😂
2026-07-27 09:53:30
7
mseeemwaaaaa :
lazima ule ivyo kwa sababu kwa mwaka mala moja
2026-07-25 13:25:03
7
baby face cp :
nauliza tu nn maana ya kibudu make kila mtu anakoment ni kibudu🤣🤣🤣
2026-07-20 09:43:46
11
mahskujua cake🎂 😋😋 :
😂😂😂😂nahunenepi ukimaliza kula mguu wanyama unaenda kubamizwa na mguu wamtot chumban wakisukuma mpaka kunakucha niache nile nyama robo mi😂😂😂
2026-07-19 16:40:26
7
zizu boy :
umesha sema mjini tofauti na vijijini tofauti kabisa
2026-07-20 19:30:24
7
Hawa Yohana :
kiro yote hiyo tunakula robo tu na tulizika
2026-07-20 07:34:55
7
Johanes Jovith :
ndo maana una afya dada yetu
2026-07-19 20:22:02
5
.jay pheth :
.tunakula kwa afya siyo Kwa sifa
2026-07-20 08:29:41
7
dee %% :
mjini hatuli miguu
2026-07-20 03:34:20
7
Njely Edwine :
Uku wap jaman
2026-07-27 14:27:19
2
Ruti Musilu :
kilo moja mbona umetupaisha robo na familia yangu😂😂😂
2026-07-23 23:06:43
2
Tahir jr :
ila wasukuma
2026-07-22 14:50:15
1
ST. PAUL'S OPEN SCHOOL KIMARA :
nielekeze ulipooo
2026-07-25 06:38:53
1
mbogo mshana og :
ilikua yaumwa
2026-07-26 08:55:11
1
Ms moddy :
Mmmmmh No thank you .
2026-07-20 11:12:22
1
To see more videos from user @fareed_mastory, please go to the Tikwm
homepage.