@sconto_digital: #KAHAMA #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #zeelakujiamuliaMambo #kenyantiktok🇰🇪

Sconto Digital
Sconto Digital
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 14:26:38 GMT
431978
24070
365
603

Music

Download

Comments

ester.dicksoni
E6✍️ :
Haina shida aliye gundua umeme nae alizikwa gizani
2026-07-20 06:28:52
161
dayanaclothingstore
Diana Mgallah :
Mungu wangu nachanganyikiwa mimi najiungamanisha na hizi baraka wakati ukifika😂😂😂😂
2026-07-20 06:33:39
94
dollyidhumail
dolly💋🧚 :
anae daiwa songesha kama mm
2026-07-20 09:12:50
42
epamagirl200
Epamagirl,@# :
billion 15 imetumika kupamba ukumbi afu mim apa nadaiwa songesha 😅 nachanganyikiwa mim
2026-07-20 12:41:11
31
sammy32520
SAMMYY :
kumbe.mwijaku an mdogo wake
2026-07-21 20:40:41
10
aziza.japhary5
Azizah🙃 :
Huyu nae nani?😳
2026-07-20 08:34:00
12
user431805952298
dommy12# :
Kila penzi litaonja umauti😂
2026-07-20 11:29:23
4
ginnah370
Ginnah008🌻🦒🦒✨️ :
hii tishet Mara mkono mmoja mrefu Mara yote mifupi
2026-07-20 07:22:52
9
pasificpaul
PAUL MATELEPHONE NEW :
@Nakumbuka mwaka 2016 niliitwa na bibi yangu kijijini DODOMA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-07-20 14:52:38
6
catrina.ally
Catrina Ally :
alieskia ngatele kama mm, jamn wanyakyusa hatujawahi jificha asil yetu 😅😅😅😅
2026-07-20 10:04:15
6
user959859475n
Ms nuur🦋❤️ :
week 1 hmn ndoa hapo😏
2026-07-20 07:02:45
6
posh.kid97
posh kid :
kila penzi litaonja umauti🥺
2026-07-23 10:56:46
1
user3415132298145
jennefirkennedy :
chawa umejitahidi kutoka utambulisho
2026-07-23 18:04:00
2
berthebernise5
Mum berthe 🧑‍🍼 :
+243 nous sommes là 🙏
2026-07-21 20:18:47
0
user242704636554258
lillo lollipop :
nice 👍
2026-07-20 10:02:52
1
gaby5g4
family :
mapenzi niyale yale mazee
2026-07-21 13:56:50
3
sofiaally861
sophia bakar :
atar 🤣🤣🤣 tulokimbilia comment kujen apa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 13:18:38
5
rosejohn382
rj :
Mungu amlinde
2026-07-20 09:23:54
2
maskin.jeuli
binti broo♥️💍🙏(sekela) :
uzur kila penzi litaonja umauti😂
2026-07-20 10:07:34
5
user78428748145087
Shansialove :
Nimeskia Ngatele ila wanyaki hamjawahi jificha na kabila leu nawapenda sana 🥰
2026-07-20 10:32:17
2
ester.ulaya
Ester Ulaya :
sijawahi kuona kweli ametikisa
2026-07-22 12:06:03
1
jordan48071
Jordan :
Wasukuma achen unafk bac nipen makopa ❤️❤️❤️
2026-07-25 07:28:42
1
zclassicnovels
𝐙 𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬𝐢𝐜 𝐍𝐨𝐯𝐥𝐞𝐬 :
Album yangu imejaa nyuso za wanawake wazuri, lakini wote wamekuwa wake wa wanaume wengine 💔
2026-07-22 07:54:59
1
humaidhwatynovatu
It's Humai 🦋🦋 :
yakwako lini mwanetu
2026-07-20 18:43:03
1
husseinjaffar999
husseinjaffar999 :
nialikeni jamaaaniiiii mm pia ni comediani chizi fresh from kenya
2026-07-20 12:08:37
1
To see more videos from user @sconto_digital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About