kama tendo la ndoa ni Upendo bc watu wasingekuwa wanaachana
2026-07-20 03:35:48
146
Selemani💪 :
kama sio bikra hampendi mwamba...
2026-07-20 05:51:57
76
Official_PrincessNey✅ :
Mwanaume sio lazima hakuhudumie, kama bado hajakuoa na akikupa kitu ni upendo sio lazima, Pia tendo la Ndoa ni kwa wanandoa pekee hao wanaofanya tendo la ndoa bila ndoa ni uzinzi
2026-07-19 19:39:29
134
️ :
incase mwanamk akikupenda nothing is hard to give to her man.
2026-07-23 02:58:46
0
Khadija :
frida unaongea point sana ❤️
2026-07-19 19:50:03
119
BSM :
somehow
2026-07-22 19:58:38
0
chordstop_store01 :
FRIDA VERY HUMBLE AND CHARMY🥰
2026-07-20 07:29:21
7
Rosemary Mlay( Bi 🐟 🐠) :
FRIDA I love u.
2026-07-20 13:32:45
10
Mama Camila :
sex is not a sign of love hahahaa
2026-07-19 19:34:33
39
msigwa njombe :
tendo la ndoa halina maana yoyote kuhusu upendo
2026-07-20 07:13:01
27
A Real Queen 🥰♥️ 👑 :
je hakuna kitu kingine naweza kufanya tofauti na kukutana kimwili ambacho kinaonyesha upendo wangu Kwa huyo mwanaume?!
maana cdhani kama upendo unapimwa Kwa kukutana kimwili
Tendo la ndoa linafannywa na wanandoa pekee haya ya kufanya kabla ni dhambi na sio kwamba hampendi ndio maana likaitwa tendon la ndoa na sio tendo la uchumba wala tendo la upendo
2026-07-19 22:57:22
23
Chimamy #jikelasimba💪 :
HAMPENDI
2026-07-19 19:11:59
22
user5165041025853 :
10,10 nalioa
2026-07-19 21:11:42
8
Vero Trendy Store👗👔👖👙👠👜 :
Frida na vido ameongea point
2026-07-20 07:24:58
14
Benizo the don tz☠☠ :
kama sio bikra haampendi
2026-07-21 16:57:51
6
Anthony Peter :
frida mbn hivo lkn 🙈😂😂
2026-07-20 07:47:11
7
SeLE_017 :
kama mwanamke haupo tayari kutoa vya kwako basi sema mapema nisikupe vyangu 🤣,
tunao kubaliana na njenge gonga likes nyingi nyingii hapa
2026-07-21 08:42:22
5
SIRI OIL 🫒 :
uzinifu watu wanataka kuufanya uonekane nikitendo chakawaida kwenye jamii namnaenda kufanikiwa maana sio kwamnavyopambania
2026-07-20 06:11:57
19
Trice🥰 :
Frida yuko sahihi
2026-07-19 19:46:56
12
Ngulile MOH. :
Frida what are say
2026-07-19 22:19:13
6
carry :
hampendi uwezi mnyima mtu anaekuudumia😁
2026-07-19 18:53:58
11
D'e Jarvis :
kama ukikazia mpaka ndoa na Hela zangu ukazie hiiiivo hivo mpk ndoa nani aliwe Sasa afu nani aachwe
2026-07-20 06:14:06
5
RoshV💗# :
mwanaume anaamini kwamba ili ajue kwa kweli mwanamke anampenda lazima ampe mapenzi,na mwanamke anaamin kwa ili ajue kwa mwanaume anampenda bas hataomba mapenzii🤣🤣
2026-07-20 02:49:01
6
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.