@sylvainmichael: SEHEMU YA TATU,SEMI LA AZANIA KUTOLEWA CHINI YA BAHARI NCHI TANZANIAN. #creatorsearchinsight #tanzaniantiktok🇹🇿 #JichoLaMunguTz #swahilitiktok #creatorsearchinsights
Alvain Tz
Region: AE
Sunday 19 July 2026 15:36:54 GMT
Music
Download
Comments
TMT :
yani ulivyoanza na ulivo maliza ni story mbili tofauti
2026-07-20 12:36:06
15
Mammy Mo :
hasa huo mziki wanini
2026-08-03 18:25:49
1
ROSE NGUYU :
kwann wasinunue gari nyingne kwan lazima ipone hii,mbona gharama ni kubwa sana
2026-07-21 09:05:47
10
yonadaniel5 :
Tumepigwa😳
2026-07-23 15:28:58
7
Ummy Abubakary :
mbona hujasema habari ya dereva????
2026-07-26 03:13:10
3
The haule :
Ai
2026-07-20 14:43:21
7
user36192748622188 :
ya kutunga hyo sio kweli biashara hyo
2026-07-26 20:15:34
4
@ :
Sawa tumeelewa naomba kujua hiyo Garage iko wapi sasa namm nipeleke gari yangu
2026-07-28 06:40:05
2
blegedianyambo :
khaa knamda gari inavotok baharin ... hozi iliachan na tela inavofik nch kavu imetok gali zima limeungan..
2026-07-20 19:14:23
5
grey17 :
mwanzo ulisema nchin hispania
2026-08-01 12:53:19
2
tyan... :
na hao madereva waliwaokoa au mliwaenzii
2026-08-04 14:34:42
1
Robert Thadeo :
Sauti ya Mziki ipo juu sana
2026-07-28 07:49:13
2
Mr chief Tz :
Sio ya azania na sio Tzd
2026-08-01 06:36:17
1
jermaele kyavere :
sehemu 4
2026-07-23 20:49:14
2
Joyce mushi :
jaman ukiwa unatoka storry toa mziki
2026-07-23 18:26:20
6
"Dr.Mapenzi" :
ai falla sn
2026-07-20 07:34:15
5
kibibibylight :
next
2026-07-23 13:30:42
2
kinumbi(1) :
🤝🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-20 21:08:08
2
bonymbilinyi :
mnauhakika hyo story ya kwel au ya kutunga?
2026-07-22 11:14:04
7
Mandison :
Huu ni uongo mtupu
2026-07-21 11:55:32
2
Haxhim :
vp kuhus dereva
2026-07-30 07:23:15
3
Khalid Salum :
sio kampuni ya azania
2026-07-31 18:27:59
1
M.B.61. :
wachaa iyoo mbaya sana
2026-07-25 05:42:52
1
beyondphaseone :
jamani ni gari gani hilo
2026-07-22 10:22:33
1
Mama G :
Huo muziki wa nn sasa
2026-07-22 18:15:36
2
To see more videos from user @sylvainmichael, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.