@minobongo25: Mwanadada @husnagood amefunguka kuhusu Umbile lake akidai kwamba linavutia sana wanaume na amekuwa akisumbuliwa sana na watu mbalimbali DM huku akidai kwamba hata Mchezaji wa Argentina Lionel Messi Aliwai kumuandia Hi, Husna I love you kwenye DM.
Mino.Bongo
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 16:00:01 GMT
Music
Download
Comments
Omary :
usifananishe mussa na Messi
2026-07-19 19:14:50
2057
pababi🦋 :
Me Ronaldo nimemblock😂ana nisumbua mno
2026-07-20 06:29:38
186
ashrayn :
😂😂😂😂alaf kuna huyu alosema usimfanishe messi na mussa 🤣🤣🤣🤣umejua kunichekesha 😂😂
2026-07-19 21:50:00
673
mwanaidi hashimu :
Dunia simama nishuke unanipeleka wap
2026-07-19 19:05:33
145
Hamiyda :
messi au meseji😂😂
2026-07-20 09:13:44
78
nufaila_ramadhan :
😂😂😂 m nachoka
2026-07-20 09:59:50
3
Flawlessqueen. :
@messi typing.......😂
2026-07-20 12:38:42
1
Rizzy 9 :
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
2026-07-20 04:02:33
178
j.i.m.m.y_theo :
Alaf Messi hatumii english ss iyo I LOVE YOU sijui Messi yupi unamzungumzia😂😂😂😂
2026-07-20 05:20:31
55
Hilda :
tuko mwaka gani jamani😂😅😂😅😂😅😂 mnikumbushe
2026-07-19 19:40:28
185
Seif Tito :
ila TikTok ya usiku sio kama ya mchana
2026-07-19 20:05:58
246
Neema Antony :
usikute tanzania iko nje ya dunia😂😂
2026-07-19 20:35:52
38
Neyheart❤️ :
ila Messi ndo tabia yake😂😂😂😂me nimeblock for sure😅😅
2026-07-20 18:37:14
0
Roman :
THAT IS ME NOT MESSI
2026-07-20 13:56:03
2
Adam :
Messi hatumii tiktok
2026-07-20 08:39:47
2
Vasco🦋official 😍 :
Huyu husna anatuchukuliaje sis 😂😂😂
2026-07-19 20:28:10
23
charlotte :
nachoka mm
2026-07-19 17:50:49
4
Nicholas Michael :
kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
2026-07-19 23:11:36
70
@emperor :
Taaaaanzania Tazaniaaaaa,nakupenda kwa moyo wteeee,nnchi yanga Tanzania, jina lako ni tamu sanaaa😅😅😅😅😅😅😅
2026-07-19 22:02:09
73
Dr zoomtz :
hivi wanawake wengine huwa wanatuonaje pengine 😳😳
2026-07-19 20:24:46
9
❤Twinkle Berry🧚♀️💖💦 :
tunaoamin ni messi wa FB gonga like hapa
2026-07-20 02:38:43
11
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.