@habarimpya_tv: Ndoa ya Monalisa mtoto wa Tajiri GSM wa Katoro inafanyika Kahama Leo na Huu ndio Msafara wa Bibi Harusi.. 🙌🙌

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 16:08:20 GMT
177402
3595
70
100

Music

Download

Comments

bahati.msigwa8
maiko msigwa :
kama hii ndo harusi basi Mimi wangu nilimsomba
2026-07-19 20:15:37
41
raphaeljackson89
raphaeljackson89 :
Ambao bado tuna..Safar ndefu ya utaftaj like apa
2026-07-19 17:33:03
57
therapyzee1
zee...❣️🔐 :
wamekodi na barabara😅🙌
2026-07-19 20:12:00
10
victoria.gl20
Victoria GL :
mama samia tujengee barabara tu mengine tuachie
2026-07-19 18:54:33
7
chazzoh9nine
Chazzoh 9nine :
wanao kubalii katoro gonga like hapa
2026-07-21 10:46:56
6
peter.dindi
P m mupakani :
yatapita kama mengine
2026-07-19 20:09:14
1
jackie_840tz
It’s Jack 🦋✨ :
50/50
2026-07-21 05:30:30
0
hevati._47jr
HevatiJr _47 :
harusi ya taifa kanda ya ziwa yaifa kubwa
2026-07-19 22:21:57
4
felixcharles374
Felix Charles0744926377 :
unyama sana
2026-07-19 18:43:54
3
yuture1234
Yuture🥰 :
jina la nyimbo jaman
2026-07-20 14:15:39
2
rosejohn382
rj :
watani zangu wasukuma mmetisha😂😂😂🥰
2026-07-20 18:03:12
2
buswelu13
@williamjames8430 :
Hizi gari zaidi ya musafara wa rais wa USA
2026-07-23 15:29:12
0
syl_rambogin
SYL_JAID_P :
kwani ile ilikua sandoff ama
2026-07-22 10:00:26
0
regina.mallya1
Regina Mallya :
Na amini mmeniona hapo mimi na gari yangu😄😄😄
2026-07-20 08:04:04
3
amos.magige
Amos Magige :
mmmh bado nina safari
2026-07-19 22:24:15
0
madam.betty79
👑✨ MADAM BETTY DIVA-STYLE: T :
Mungu akupe heri na baraka za woto wema dear wewe umeolewaa mama
2026-07-20 07:29:03
1
nyotaboy2
NYOX BOY⭐ :
mnamzdi na samia jaman dah😁
2026-07-19 20:16:15
1
benito.meela
benito meela :
duh inatisha
2026-07-20 13:34:13
0
user59078332
Lyster paul :
me nipo kwenye hiyo garii nyeusii angalienii vizuriii mtaniona😂😂
2026-07-20 09:58:47
0
buhele
Frank Peter6163 :
Wasukuma wako juu na juzi wamemuoa na Mtoto wa Rais wa Kenya 💕
2026-08-09 19:13:57
0
benito.meela
benito meela :
ni raisi wa Russia ama msafara na wanani
2026-07-20 13:34:40
0
levy0580
Levy :
halafu tunasema tanzania ni masking nani kasema haya magari hata Swiss hayatumik😜😜
2026-07-20 13:02:29
0
user94504956016090
sia :
nilijua harusi ya mond na zuchu😂mwee jamanii ku.be katoro
2026-07-20 13:22:27
0
anna.ndimba
Anna Ndimba :
hongera
2026-07-20 09:24:28
0
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About