hii nyimbo ilifanya nikafunguliwa walai,, nilikuwa naieka kila asubuhi,,hiyo wakati bwanangu kazi ilimuishia,,Mimi biashara yangu karibu izame 😭,,tulikuwa stressed but Mungu alitufungua kupitia hii nyimbo walai😓😥😥😥,,Mungu asante
2026-07-21 10:40:11
17
Maliyamungu Kalalizi :
Amen amen amen
2026-07-21 14:25:26
2
Choosen one with God :
amen and amen mungu najuwa haotanisahau 🙏
2026-07-22 19:53:24
0
felda ambwonyo isaji :
mungu akubariki pamoja na familia yako umenipariki na nyimbo zako 🎤🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤝
2026-07-22 19:53:01
0
florige kalunga :
Amen Amen
2026-07-22 19:55:37
0
Rael Nyachoti :
mi napenda sana ile ya Eliya
2026-07-21 20:17:14
1
Dee :
I am truly touched by your songs. wish I could sing a song with u