shekhe Mimi nimeota nagombana na boss wangu harafu mm ndo nakuwa nafoka sana kuliko boss wangu harafu nikimwambia boss wangu mm naacha kaz boss wangu hataki na anakuwa mpore au anaondoka ananiacha bado mm nasema sema
2026-07-20 11:35:35
0
shemsa wazir :
je ukiota ndoto uko shele na marafiki na walimu
2026-07-19 17:04:44
2
Johari six :
hiyo kweli kabisa
2026-07-20 07:53:50
0
kaiyha :
me nilitoa Sheikh ila sikuwa nausingiz ivyo sijui niseme nilipitiwa namawazo ...tu. kuwa kama ipo siku nitatafutiwa sababu nameneja wangu ili anifukuze kazi ..nimekaa Kam week mbil kweli akaniachisha kazi .. baada yamwez nikaota sasa nimeludi kazni lakn namfanyakazi mwenzangu tunagombana ...kisa mteja mwenye hela lakn mwisho wasik yule mteja akaondoka 😳
2026-07-20 09:25:14
0
Eddi :
je ukiota ndoto uko na wafanyakazi wako wa zamani unazungumza nao au munapanga kazi hali ya kuwa hiyo sehemu ya kazi nishahama niko sehemu nyengine.
2026-07-20 08:25:12
0
Rehema tisho :
na kama tunakosana natuko live hapa
2026-07-20 06:11:26
0
user6831562377063 :
mm nliota boss analia akinigombanisha keshoye mmoja wetu akafutwa kazi
2026-07-20 05:36:49
0
To see more videos from user @sheikhkatototv, please go to the Tikwm
homepage.