@batibombatanzania: 🏠 UNAJENGA HIDDEN ROOF? USIPUUZE WALL FLASHING! 💧 Wall Flashing (Hidden Roof Edge) ni sehemu muhimu inayosaidia: ✅ Kuzuia maji kuvuja kwenye kingo za paa. ✅ Kulinda nyumba dhidi ya uharibifu unaosababishwa na mvua. ✅ Kuipa nyumba mwonekano wa kisasa na nadhifu. Usikubali hatua hii irukwe wakati wa ujenzi. Ufungaji sahihi huongeza uimara na ubora wa paa lako. 📞 Wasiliana nasi: 0659 502 639 0684 502 639 📲 Jiunge na WhatsApp Group yetu kwa ushauri, bei na ofa mbalimbali. BATI BOMBA TANZANIA LIMITED "UKIWEKA UMEWEKA." #HiddenRoof #WallFlashing #MabatiBomba #Ujenzi #RoofingTips