@mathayosangason: Wakunitisha nawangoja mje kwenye comment ๐—Ÿ๐—ฒ๐˜'๐˜€ ๐—ง๐—ฎ๐—น๐—ธ ๐—ฎ๐—ฏ๐—ผ๐˜‚๐˜ #๐—Ÿ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ #๐—ฅ๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฝ #๐—™๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ #๐—•๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฒ๐˜€๐˜€ #๐—ง๐—ฒ๐—ฐ๐—ต #๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต #๐—ฃ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—น_๐——๐—ฒ๐˜ƒ๐—ฒ๐—น๐—ผ๐—ฝ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜ #๐—ง๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด #๐—Ÿ๐—œ๐—™๐—˜

๐— ๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ
๐— ๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 16:53:33 GMT
18936
1139
138
16

Music

Download

Comments

saiddesigner8
Said Said :
YESU NI MTUME NA SIO MUNGU WALA MTOTO WA MUNGU MAANA HAIKUANDIKWA KWAMBA YEYE NI MUNGU AU MIMI NI MWANA WA MUNGU
2026-08-10 00:52:18
18
nurdin.rajab7
Nurdin Rajab :
ukweli nikwamba hakuna mungu Wala shetani
2026-08-09 17:52:25
7
casianmabala298
casian :
๐’š๐’†๐’”๐’– ๐’๐’Š ๐‘ด๐’–๐’๐’ˆ๐’– ๐’Œ๐’˜๐’‚๐’”๐’‚๐’ƒ๐’‚๐’ƒ๐’– ๐’‰๐’‚๐’Ž๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’†๐’๐’š๐’† ๐’–๐’˜๐’†๐’›๐’ ๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’‡๐’–๐’‡๐’‚ ๐’›๐’‚๐’Š๐’…๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’–๐’๐’ˆ๐’– ๐’๐’‚ ๐’‰๐’‚๐’Ž๐’๐’‚ ๐’‚๐’๐’‚๐’†๐’˜๐’†๐’›๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’”๐’‚๐’Ž๐’†๐’‰๐’† ๐’…๐’‰๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’Š ๐’›๐’‚๐’Š๐’…๐’Š ๐’š๐’‚ ๐‘ด๐’–๐’๐’ˆ๐’–
2026-08-17 13:24:45
1
edson.daud80
Edson Daud :
yesu na Mungu. ni kitu kimoja ukimuona Mungu sawa umeniona yesu leo ni nafsi moja iyooo
2026-07-23 11:49:53
2
manyessa1234
manyessa wisdom show :
QURAN INAMAJIBU YAMASWALI YOTE, MUHIMU YAKIIMANI , WATU WAMEAMINISHWA VIBAYA WASIIJUE UKWELI, KARIBUNI KWA PROFILE YANGU TUPATE MAJIBU SAHIHI KUTOKA KWA MUNGU MWENYEWE
2026-08-15 11:54:25
1
smartmuxxa18
m_smart18 :
izi dini jamn dah,Bana mi ntaanza kuwa bhuudha๐Ÿคฃ
2026-08-16 09:50:49
0
niaaedward
nia Edward James mashindeke :
kwaiyo waliokufa kabra ya vitabu watahukumiwa wote?
2026-07-30 10:36:36
5
user7102017853470
user7102017853470 :
mungu ni mmoja tu na hakuzaa Wala hakuzaliwa na hafanani na chochote
2026-08-14 12:21:19
2
mazima54
Mazima54 :
Kifo haijawakuwa mpango wa Mungu,hivyo watu wanakufa kwasababu ya uchaguzi mbayo walioufanya,sasa Yesu alikuja kwenye mission ya urejeshwaji, kwamba watu waishi wakifurahi wasife wala wasiugue,hivyo basi Mission ikikamilika Watu wataanza kuishi kama zamani. kifo ni usingzi tu. na ndiyomaana Biblia inaelezea kwamba kuna mauti mbili,ya kwanza haina nguvu ndo hii watu wanayokufa sasa,lakini ya pili ndo itakuwa ina nguvu kwamaana watakao kufa mauti ya pili sehemu yao haitakuwepo tena.
2026-08-05 11:12:21
1
sufianhajji8
๐“ผ๐“ฒ๐“ฏ๐“ฒ๐“ช๐“ท ๐“ท๐“ด๐“ฑ๐“ช๐“ท :
karbun kwenye dini ya kwl ya haq isiyokuw na shaka haina dilemma ya aina yeyote ISLAM
2026-08-12 16:54:36
3
mrofficialfurniturehomee
MR OFFICIAL_USED&NEW_PRODUCT :
Jibu rahisi sana Mungu ana nafsi tatu BABA MWANA na ROHO MTAKATIFU
2026-08-04 11:37:07
0
mujunikamugisha
mujuni :
MUNGU YUPO SEHEMU MAHALI POPOTE WAKATI KWA SABABU YEYE NI MUNGU SISI ATA TUKIFA HATUWEZI KUWA NA SIFA YA MUNGU NDIO MAANA ATA MALAIKA NI ROHO LAKINI HAWANA SIFA YA UUNGU WAPO SEHEMU FULANI
2026-08-12 14:20:41
1
john.lucas5233
John Lucas :
kutuandalia makao mbinguni vip tena yupo popote mahali kote?
2026-08-16 05:42:55
0
hecatedavish
hecatedavish :
n mtt wa Mungu
2026-07-20 08:49:51
0
james_romanos
Jimmie :
Shida Unauliza na kujijibu mwenyewe,ungeniuliza mimi ningelikujibu kwa ufasaha.
2026-08-05 15:22:54
0
hashir.abdallah
hashir abdallah ๐Ÿ™ :
alhamdulillah kwa neema ya uislam
2026-08-17 11:30:08
0
manchester418
user9900691113245 :
hawajuwi wanalolisema๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-08-15 21:19:03
0
user9652091666685
Mamy :
Ok tuchukulie hakuna Mungu. Hivi kuna kitu chochote kinachokuja bila 7bu maalum? tafakkar
2026-08-16 18:37:39
0
mtukutu456
mtukutu45 :
kwa hyo ilianza dunia kabla hajaja alieumba hyo dunia dah hwa ndugu ztu kwel milembe
2026-08-12 20:12:06
1
user114333981124
RIVINUSS CHARLESS :
akuna wakati mbaya kama huu na amna wakati mzuri kama huu kwaiyo shika ulichonacho
2026-08-12 05:48:47
1
ghislainkisughumogmail
KISUGHUMO GKK๐Ÿฆ… :
pia walio fariki kabla wako wapi ?
2026-08-14 18:22:08
0
jaymus779
jaymus :
Luka 2:21 (Biblia Takatifu) Hata zilipotumia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba. HATUWEZI KUA NA MUNGU ALIE TAHIRIWA
2026-08-14 16:09:13
0
rich.boy619
Rich boy :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-14 11:48:52
0
mrjastin272
Mr Jastin :
baba kama mwana
2026-08-14 09:59:17
0
paulrt2
paulrt :
Nitajie hivyo vitabu ambavyo biblia iko kopi kwavyo
2026-07-23 14:25:28
0
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About