kenya a car worth 3million goes along with tax same as the initial price example if ur car is 3 million govermrnt tax will equate to 3 million so itakua six million after clearing
2026-07-21 14:49:12
1
janjarooo1 :
Tunachapa kazi mazee, starting when in universities💪💃
2026-07-21 06:22:18
1
blessings :
Ndio maana tulilia sanaaa alipokufa magufuli 🙏😊
2026-07-20 07:06:08
35
Salim Shaban :
mlandizi town
2026-07-20 20:19:37
1
The East African Millennia :
gold mine
2026-07-20 15:23:10
0
Anethmartine :
Hela ya Tanzania ni ndogo kulinganisha na Kenya 😂🤣🙌🙌
2026-07-20 17:50:45
31
mango :
hela yetu haina dhaman endeleeni kusema hivyo.
2026-07-20 10:54:40
12
Babe girl :
kamuulize mama samia mnaemtukana kila siku
2026-07-21 09:00:03
4
OB :
bei ya hyo chuma unanunua kenya mzima
2026-07-21 07:00:36
5
Moreno :
iyo ya iringa tajir ahmed uwel mmilik wa mkwawa water na iyo ni maalumu kwajil ya kubeba gar yake ya rally na service crew
2026-07-20 11:46:02
9
Samwel Mwaka :
kufanya kazi kwa bidiii
2026-07-20 07:00:35
2
@zursh :
Dhaa hadi mkaramo pamekua location
2026-07-19 21:24:43
1
Nassor L'amour :
Soma kwenye kioo jina lililopo ndio anaetoa Mashallah
2026-07-20 12:58:36
5
Dundo.OG :
vijana wa tz wanahela kuzid magavana wa Kenya 😃😃
2026-07-20 18:04:43
7
Najma💕 :
hio gari inakimbia hatar🥰🥰
2026-07-21 09:30:03
1
Zoro the Sword :
motohome hiyo
2026-07-20 15:44:56
1
🇹🇿&🇰🇪 :
Muulize rutoo
2026-07-21 07:57:42
1
prezzy Dar :
sio i.t 😃😃😃😃 iyoo
2026-07-20 04:39:27
1
RODRIGO235@ 🇹🇿🛣🚚 :
bhana leo nimeiona mbezi magufuli
2026-07-19 20:51:35
5
i.k.nahdi :
ahmed huwel
2026-07-20 13:52:53
1
Hoo Lee Sheet :
that's huwel
2026-07-21 19:03:42
1
assaaiyin :
si munasema hela yetu Haina thamanii
2026-07-21 05:31:56
0
Msambur Tz :
kuishi vizuri sio adi uwena pesa nyiiiing
2026-07-21 12:14:37
1
Tiger the one :
tunauza figo
2026-07-21 05:02:32
1
To see more videos from user @rasuryaunasy, please go to the Tikwm
homepage.