@user4887802708632: #CapCut

الورد جميل فأنت اجمل
الورد جميل فأنت اجمل
Open In TikTok:
Region: YE
Sunday 19 July 2026 17:42:21 GMT
854
25
1
8

Music

Download

Comments

samee5677
ابتسامةسامي😇❤🌹🌹 :
خبير😄😄
2026-09-15 04:38:25
0
To see more videos from user @user4887802708632, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

PILIPILI MANGA (PILIPILI MTAMA) Ni miongoni mwa zao la Asili lenye faida lukuki kama tiba ya kimwili na kiroho. 👉Kukomesha mchawi Tafuta yai viza 1, pilipili manga 7 Andika yai viza jina la mchawi au yeyote adui yangu. Kisha choma pilpili manga arafu fusha hilo yai moshi wake. Kapasue njia panda iwe saa 7 mchana. Siku ya jumamosi. Kiroho 👉Kuvutia wateja na bahati katika eneo lako la biashara Tumia pilipili manga ya unga na Abdalasini ya unga kupigia deki na kupulizia ndani ya eneo lako la biashara  yako kila siku kabla hujaanza kufanya biashara. Pia unaweza kutumia pilipili manga ya unga siku ya jumamosi usiku wa 6 kumwaga unga wake ndani ya eneo lako la biashara na kusubiri baada ya lisaa limoja au zaidi ukafagia kwa kutoa njee na mabaki hayo ya pilipili manga uliyofagia ukayafukia njee mbele ya eneo lako la biashara. 👉Kuvutia unavyovihitaji Kwa, kutumia pilipili manga ya punje na punje za mkunde pori. Unaweza kuvutia unavyohitaji kwa kuvichoma kwa pamoja kwa manuizi mfano kama unamdai mtu na hataki kulipa ilihali uwezo wa kulipa anao fanya hii. Au umekimbiwa na mke au mume kwa sababu ambazo ni dhaifu fanya hii. Zingatia Sio umefanya ufisadi katika mahusiano yako kama kuchepuka umegundulika ukataka kutumia dawa hiyo hapana. Mimi nawaelekeza wale waliodhulumiwa haki zao zao wanaodhulumu wenzao. 👉Kuondoa uchawi mwilini Twanga pilipili manga na majani ya mkwaju una uchuje unywe maji yake.  Mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa siku 7 mfululizo.  Tiba ya kimwili 👉Kusaidia katika mmeng'enyo wa chakula Twanga pilipili manga changanya na asali tumia kwa kula kijiko kimoja asubuhi na jioni kwa siku 7 mfululizo. 👉Kuongeza hamu ya tendo la ndoa Twanga pilipili manga, tangawizi na karafuu changanya na asali ya nyuki wadogo. Unywe kijiko kimoja asubuh na jioni kwa siku 14 mfululizo. 👉Jino linalouma Tumia pilipili manga kuweka au kutafuna katika jino linalouma. 👉MAMBO YA KIIMAN INSHA ALLAH UTAFANIKIWA.#0793889562 #dranayesaidia

About