@hawaronaldo45: Sharbat #creatorsearchinsights #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp #foryou

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 17:45:01 GMT
119924
5138
71
452

Music

Download

Comments

mchaga353
Shia lady :
da hawa hiyo nyekundu nikienda dukan niseme nataka nini??? yaan inaitwaje
2026-07-19 18:54:09
16
eshe.saeed
Eshe Saeed :
mashallah nice
2026-07-20 07:37:20
0
user8537349281169
Mima💕 :
iyo nyeupe n nn sukari ama nn
2026-07-21 19:54:53
0
tiktokcaa20
Babymoon❤️ :
Iyo nyeupe ya mwisho untia sukari ama maziwa ya unga?🥰😂
2026-07-20 03:46:06
8
albedayj
✨️JAMILLAH🥀 :
Kipenda roho yangu hyo,haikauki kwa fridge
2026-07-20 05:21:57
4
sahl3455
Sahl :
nilidhani unachanganya kitu ya maana, kumbe kitu nafanya daily
2026-07-20 08:44:17
0
mummierhoda
Mummierhoda :
hiyo umeongezea ice cream or ni hiyo umeigandisha nyingine
2026-07-20 07:42:54
0
iddahabou
CHEF 👩🏼‍🍳 IDDAH :
wajuaa niii😂😂😂
2026-07-19 17:51:03
1
nurayn.7
Official__nurayn__777 :
Mwisho umetia nn
2026-07-20 00:11:11
1
adry.beb
~mamuh🩵🦋 :
Jmn umenikumbush shule 🥺 af sjui wanawekag n karanga Eeh inakuaa tamu balaa
2026-07-20 18:47:39
0
sherwerly6
queensher001 :
siku nliambiwa iko ni chakula cha majini😂😂😂😂😂😂
2026-07-21 17:13:01
0
a.m.m.u.h
امل🎀 :
ungeblend kdg
2026-07-21 15:34:44
0
tinahmbota
tinah tanah :
aah wee mambo yangu hayoo😄😄😄
2026-07-21 09:20:28
0
mariamsaid770
prin grell❤️ 😍 :
mashallah nzuri
2026-07-20 18:16:31
0
sarah.daniels.702
Sarah Daniels 702 :
Iyo ni syrup Dada?
2026-07-20 19:06:01
0
wahdasakhy
mukheenat :
dah tukiweka umeme husband atazidu kufaidi jmn sina umeme ila juisi anakunywa🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 06:31:17
0
_nyonda_
𝕊ℍ𝔸ℝ𝕀𝔽𝕌𝕃ℍ𝔸𝕄𝕀𝔻💫 :
hio unga unga n nn
2026-07-21 14:36:06
0
jriga1
j Riga1 :
sifa tu 😍
2026-07-20 17:05:06
0
cweet.talaa
Cweet talaa :
Pambeeee tu 🥰
2026-07-20 13:54:57
0
nunanafiish
Sleeping beauty 💕 :
yummy 🥰
2026-07-20 16:48:20
0
alisha.sahir0
Alisha.Sahir :
add watermelon uta enjoy zaidi
2026-07-20 00:50:17
1
rinash336
RiRiNash32 :
Ongeza ilikii walai utakuja nishkuru🥰
2026-07-20 00:44:13
2
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About