@officia_mining: Watu wengi wanawaza pesa ziko kwa mchimbaji, lakini kuna biashara nyingi zinazoweza kukupatia kipato kila siku! Leo nashiriki baadhi ya biashara za ghafla kama Mwalo (Kusaga Mawe) na usafirishaji wa mawe, ambazo unaweza kuzitumia kujipatia fedha kila siku. Mfano, kusaga mawe kwa TSH 5,000 au usafirishaji wa mawe kwa gharama hiyo hiyo. Jifunze hizi biashara ili upate faida kila siku na ujifunze jinsi ya kuzifanya! #BiasharaZaMgodi #KipatoChaKilaSiku #FursaNje #LearnandEarn

🌗OfficiaMining
🌗OfficiaMining
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 17:50:22 GMT
29944
981
46
128

Music

Download

Comments

raynoldy
Raynoldy :
umesahau madada poa wanapiga ela zao kule
2026-07-20 21:15:34
6
aaaa.woteee
Aaaa.woteee :
sahihi umesahau swala la kulala gesti za mabati ukitengeneza hata vyumba 10 tu kuna wa day na night
2026-07-20 14:45:46
3
user6788784454788
mume wa dada :
san aiseee
2026-07-20 10:22:37
1
reenie549
Momo🦋 :
Niende geita mwakani😁
2026-07-20 14:39:56
1
yjmnmkjjjjjjjjjj
Yjm :
umesahau kamali kama bonanza, pool tables, mabanda ya mpira na ujenzi wa guest houses, pià uuźaji wa matunda na juice&uji
2026-07-20 08:11:55
1
muggatours
MUGGA TOURS :
Very educative bro
2026-07-21 15:21:07
0
joycemalulu34
💃💃J :
asant 🙏 nmekufollow aisee
2026-07-20 08:57:10
1
officiall.ngamia
officiall ngamia :
kumiliki mwalo ni gharama kubwa sana
2026-07-23 03:26:44
0
igitanga_
Igitanga :
gest bubu je???
2026-07-20 12:03:51
0
lufungajr
BUNGA💎 :
maisha ya kwer🔥🔥🔥
2026-07-21 09:52:21
0
its___halima_
Mimah🦋16 :
Ngoj nikufollow kbc 😁
2026-07-20 08:00:59
0
nyashishi1
nyashishi1 :
1 2 3 na 8, zinalipa sn, hasa hy kukodisha vifaa, mwenye kompresa na diga lazima apate sn, wachimbaji wadogo wengi wakifikaga hapo, wanakwama wanafunga duara sbb hata za kukodi hamna
2026-07-20 19:21:32
1
iiiiamsophia
iamsophia :
Hata kuuza chemicals..
2026-07-22 07:01:54
0
pharlesskarebu219
Ashraf 🗝️ :
Umesahau Guest na kuchaji simu na vifaa vyote vinavyotumia Umeme🫵🫵🫵
2026-07-21 21:14:40
0
baba.asma4
Baba_Asmatz❤️ :
Umetisha sana family
2026-07-21 19:53:04
0
_seven_thunders_revival
The 7Thunders Bride's Revival :
𝚈𝚎𝚜𝚞 𝙺𝚛𝚒𝚜𝚝𝚘 𝚈𝚞 𝙷𝚊𝚒: 9 Lakini, leo, zaidi ya yote, sisi Wakristo tunaweza kutupa vichwa vyetu nyuma na kuimba, “Yu hai, Yu hai, Kristo Yesu yu hai leo. Huenda ukaniuliza jinsi ninavyojua Yu hai; anaishi moyoni mwangu.” Nasi tuna kaburi tupu leo hii. 53-0405S - Nendeni, Mkawaambie Wanafunzi Wangu Kasisi William Marrion Branham
2026-07-21 13:15:46
0
xchtur
H₂O₂ :
plate elf 5 kha
2026-07-20 12:23:00
0
kingjatelojr
kingjatelojr :
hatimae wasomi mmefika machimboni🤣🤣
2026-07-24 17:18:04
0
mti.mkavu15
mti mkavu :
Vip biashara ya Dawa za binadamu
2026-07-20 15:20:25
0
starrymediaproduction
Benny Starry :
😁😁😁
2026-07-20 20:35:07
1
angeladriano120
Angelina🦋 :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-20 06:42:06
0
dickiekahela
Dickie forever :
🔥🔥🔥🔥
2026-07-20 06:15:26
0
manabumadeni21
madeni :
🥰🥰🥰
2026-07-20 10:56:03
0
mkata.umeme
mkata umeme :
😳😳😳
2026-07-21 12:25:15
0
To see more videos from user @officia_mining, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About