nina swali....kwa nn mwanamke akitaka talaka itabidi aridishe mahari?
2026-07-21 13:21:18
1
LEIYLA💞🌷 :
na je ikiwa mume ametowa talaka bila sababu ya msingi mbili bila kuandika wala mashahidi je talaka hixo mbili zimepita
2026-07-20 19:01:57
2
Godbr🌹 :
Kama hajakupa mahali itakuaje sasa
2026-07-21 04:30:05
2
Bint sayyd :
Mmmmmh moyo tulia 🥺🥺🥺
2026-07-21 12:36:01
4
Arafa Nuwa :
Sasa Kwan mfano mim mke ndo nimekosea mume wang kosa kubwa tyu ambalo kulisamehe ni ngumu ila yeye amenisameh lakn licha ya kulisamehe Bado ndoa Haina amani Wala maelewano je nkidai talaka ntakuwa nipo sahihi
2026-07-21 07:45:25
1
Ak :
Shekhe umesema mtu akiritadi na baadae akirudi kwenye dini ndoa inaanza tena kama eda haijaisha...Mbona naskia mtu akiritadi hawezi tena kurudi kwenye dini ya uislam?msaada shekhe
2026-07-21 05:24:25
1
user6157049077400 :
Subhanallah
2026-07-21 16:07:55
1
RUMMY COLLECTION 🥰 :
shukrn nimejifunza
2026-07-20 22:12:55
2
🌹cuttey_eydar🌹 :
shukran sheikh kwa kutuelimisha
2026-07-21 05:16:01
2
sulhatsan :
J
2026-07-20 17:58:23
3
Claudette Aridja :
shukran mwalimu
2026-07-22 07:09:40
1
pretty sack official :
shekhe akikataa kupokea mahali yke
2026-07-21 09:29:46
2
mimmah113 :
Alhamdulilah nimeelimika
2026-07-21 06:07:07
2
official emmy :
shukran nmejifunz🥰
2026-07-20 21:25:40
2
𝒩𝒶𝓈𝓇𝒶𝒽 𝓘𝓽’𝓼 🤍 :
Ila si nampa ile mahari aliyonipa mm tuu ile aliyowapa wajomba je😂
2026-07-21 18:16:07
0
shy girl :
Asante sherkhe kwa darasa hili
2026-07-21 20:33:27
1
Thommy Cliver Classically🇹🇿 :
eeh ss sindio mihezi hiyo ostadh😂😂😂
2026-07-21 10:38:11
1
lilshaga :
10/10
2026-07-21 10:24:49
1
user2685780144660 :
hakukaa ada akachukuana na huyo jamaa yake wakaishi badae wakaowana
2026-07-21 15:01:43
0
Mariam Mohamed :
kwa mana inabidi mwanamke ainunue talaka kama mwanaume hataki toa kwa hiyari...ama sijaelewa
2026-07-22 14:58:35
0
user2685780144660 :
swadakta
2026-07-21 14:55:10
1
hutb :
maashaallah
2026-07-21 19:06:48
0
Shairoz Faiz :
AMEEN
2026-07-21 05:51:14
1
To see more videos from user @mrs.olele7253826804557, please go to the Tikwm
homepage.