Every serious tasks that involves lives and welfare of others in your hands needs you to take an oath.
2026-07-21 08:40:41
0
sheby 01 :
Afu unamalizia e mungu nisaidie😁😁😁
2026-07-20 06:36:38
325
Arish .KJ :
kiapooooooooooooooooooo
mim yule yule
mungu nisaidieeee....
2026-07-20 12:18:09
0
51M10N :
I do solemnly and sincerely swear 😅😂
2026-07-20 17:36:51
1
suzumura Sanya town :
daaaah 🫡 iz shida Zina mdaa wake
2026-07-20 11:54:48
4
Aineksha black beauty🤎🤎🤎 :
Naapa kuwa mwaminifu na kuwasikiliza viongozi wangu maagizo watakatonipa. . Nikikumbuka nalia😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-20 05:46:21
84
Eyziee dee :
koo ss tumejichanganyaa, omba usiingie kwenye mikono yetu
2026-07-19 19:50:14
67
Omalicha 🩵🖤🩵 :
Kizuri nimeapishwa na judge mkuu🥰
2026-07-19 23:32:07
37
DIBA_valor :
Tena unaanza kwa kuji usisha MIMIIIIIII …✋😂😂😂 kwishaaa
2026-07-20 07:07:46
19
Mpole :
Nawakumbusha tu Facebook wanasafisha picha jaman
2026-07-20 09:28:40
12
Gideon :
Na ntailinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano
nanita tii maagizo...😁😁
weweee
2026-07-20 09:11:25
12
Raphinha :
Kuwa raisi unaapishwa pia unataka kusemaje 😂
2026-07-20 06:09:20
10
katoto :
😅😅 kumbe Sina kazi wallah ninatumikia tu
2026-07-20 06:34:50
8
Chief_Kingalu♍️ 0%🪫 :
Kwaiy mimi mgambo wa manispaa nimejichanganya sio 😁😁
2026-07-20 07:45:26
2
🌚 :
waziri mkuu ninasomaa comment 😂🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 09:44:12
3
anzyagy :
Dah 😂
2026-07-20 06:03:11
0
conshine 🥰 :
We acha tu
2026-07-20 10:37:59
2
Baddy :
mbona Raisi, mawaziri, wakuu wa mkoa wilaya wanaapa na kazi nzuri haswaaa
2026-07-20 18:38:38
4
linah :
kuna mimi nilianza kula kiapo before mshahara 😂😂😂🤣
2026-07-20 10:21:31
0
UONGO MWIKO :
Unatakiwa uanze na maombi sio?
2026-07-20 22:46:40
2
HK :
kwahiyo namimi waziri mkuu wako nimejichanganya?nakuhitaji ofisin kwangu haraka sana
2026-07-20 08:31:29
0
80802Nyeda08 :
Mbunge, police, mwanajeshi , vyombo vyote vya ulinzi na usalama, judge,na viongozi wote wa umma lazima waapishwe. Yawezekana hujui hata yote niliyoandika hapo juu
2026-07-20 07:21:41
0
To see more videos from user @mdoe735, please go to the Tikwm
homepage.