ona watu walivyo wabinafsi. kwamba jamaa afanye kazi halafu wao wapokee mshahara wake. ๐๐๐
2026-07-20 11:11:58
17
Angelo :
Huo siyo mshahara wa diwani wa miezi 6 hii nchi tunadanganywa sana et diwani analipwa milioni 2 kwa muda wa miezi 6 tafsiri yake kazi hii et ukigawanya kwa miezi sita unapata kama laki3 na elf34 je mnaona ni kweli hawa viongozi wasipoacha uongo tanzania tutachelewa sana
2026-07-21 09:02:06
2
M alfa the son :
afu 10 watu wa3
2026-07-20 08:52:02
7
SALUM IZENGO. :
mmmmmmm
2026-07-20 05:30:11
0
Dee97 :
mtaaa gani uo nihamie ๐๐๐
2026-07-20 10:36:22
4
mtosi :
kumbe Diwan msahara ni laki tatu au anatupiga
2026-07-20 12:26:46
5
Lucas Laurian :
Ndio atuambie kwa miezi 6 kaishiji na familia yake ?
2026-07-20 13:50:55
5
user4921157175675 :
Haiwezekani
2026-07-20 14:35:13
0
Joyce Manga :
wanagawana elfu tatu tatuuu
2026-07-20 10:50:58
0
Othman Alsherem :
kwani madiwani Wana mshahara
2026-07-20 13:00:18
0
STATUS :
Watu Wanaauchungu na Nchi Ahse
2026-07-20 08:07:01
6
PASCO :
chama gan hiko๐ข
2026-07-20 14:30:50
0
Mauwezo drummer๐ฅofficial :
hii nchi gan๐
2026-07-20 10:30:55
0
Joyce Manga :
kumbe Diwan analipwa laki tatu naaa ๐คญ๐คญ
2026-07-20 10:53:26
4
Tron :
Posho ya vikao tunaomba๐๐
2026-07-20 09:33:48
2
MWINYI MKWABI :
jaman minaomba nishuke maana mwendo wagali hii limenishinda
2026-07-21 09:47:54
1
suke boy :
2030 uje kwetu ugombee ubunge
2026-07-20 11:13:53
1
To see more videos from user @kadomediatz, please go to the Tikwm
homepage.