@jay_cob..angelin:

Jay_cob. Angelin
Jay_cob. Angelin
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 19:06:09 GMT
57701
2166
136
58

Music

Download

Comments

aziza.japhary5
Azizah🙃 :
mbona huyo ni mkubwa Bado anawasumbua usiku? najuaga ni wachanga tu wangu ilikua ikifika saa4 yeye ndo pamekucha hamlali mpaka saa11 asubuh😁😂😂😂😂
2026-09-17 11:13:23
1
mwery.hellen
mwery hellen :
amechokaaa mnooo jmn 😂😂😂😂 amekesha huyooo🥰
2026-07-20 03:27:50
5
user8127795179610
Rachelsylivenus :
niache mtt kwan usiku tutakua nakz gn mm naww 🤣🤣🤣
2026-09-05 12:34:40
1
brigitha_kimario
Emmy official💗❤️‍🔥 :
jamn muache bhan daah karembo kenyewe🥰🥰
2026-09-15 18:16:54
1
nicolausn278gmail5
nicolausn278gmail :
sijapenda 😭😭
2026-07-22 11:24:45
2
salmahm792
salmahm792 :
Jaman muache mtoto alale bhana unakatesa karembo 🥰🥰🥰
2026-08-31 08:00:46
0
i.a.m.joyce
Joyce :
😂😂😂Nimecheka kwa sauti nikikumbuka wanavyo lia usiku jmn nachoka mimi 🙌🙌🙌
2026-09-13 20:41:49
0
muuh0138
❤️❤️muuh!!🥰 :
hurumaa so malezii tutamtaftajee mdogo wakee
2026-09-17 14:06:05
1
renee_4764
Renee_47🌸 :
ila wewe
2026-07-20 05:32:24
0
user1563481934361
anna njemet :
had apo ushaniuzii🤣🤣
2026-08-07 06:12:16
0
maureen.msuya
Maureen Msuya :
niachieni mwanangu jmn🤣🤣🤣
2026-08-20 19:02:21
0
maryjuma133
G 552 :
jaman 🤣🤣🤣 mbona ivo
2026-07-19 19:13:44
0
mariana.daudi
mariana daudi :
jamaniii
2026-07-20 09:11:56
1
user3421605381576
Julista :
Mimi nina katoto kachanga ka mwezi wa 7 hapa Yani nimekonda utafiri nimekosa chakula 😔😔😔😔😔Kuna siku nilijisemea kimoyo moyo Bora nisinge pataga mimba tu
2026-08-13 18:05:46
0
floramndeme661
[email protected] :
hebu muache mtoto wangu 😂😂
2026-07-31 07:46:09
0
twiga047
🍎🍎msukuma wa bukoba 🍎🍎 :
muachemwanangu
2026-07-20 04:01:08
0
tinamajo2
am_Tina🤘 :
muacheni jamani 😂
2026-07-22 15:13:59
0
user8127795179610
Rachelsylivenus :
kumbe kaka angu Kuna mda huwa zinaama jmn acha mtt
2026-08-04 06:15:01
2
user2351753735371
shani :
Mwache mama yangu amechoka 😂😂😂😂🥰
2026-08-01 19:59:21
1
mariapialoffredo
mary :
Non si svegliano i bambini mentre dormono.Capito !
2026-07-20 21:05:48
1
msevaina1
🦋🦋miss Evaina🌺💦🦋🦋 :
Dhambi jamani😂😂😂
2026-09-08 19:21:37
1
jasmin29145
JASMIN🥰 :
mm wakwangu ikifika saa kumi anajifanya kulal saa mbili akiamka ngama saa tisa
2026-09-14 14:13:51
1
user62158005443072
Kessy :
jaman we kaka 😂
2026-07-20 03:43:49
0
rehema.nyengo
rehemanyengo :
baba usinitesee huyo mjukuu wangu
2026-07-20 08:32:11
0
fifi.720
Fifi❤️ :
Kwann umsumbue wifi yangu jmn em mwacheni
2026-07-31 04:19:46
1
To see more videos from user @jay_cob..angelin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About