@jugo_media: Hivi Ndivyo Namna Padre Anavyovyaa Mavazi Kabla ya Misa Takatifu, Pia Maana za Mavazi hayo zimeelezwa. Padre Maxmilian Wambura ameadhimisha Jubilei yake ya Fedha katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, mahali alipokulia katika imani na kupokea Daraja Takatifu la Upadre mwaka 2001. Miaka 25 ya Upadre, safari ya imani, wito na huduma. 🙏 Hongera sana Padre Wambura! 🎉 #JubileiYaFedha #Miaka25YaUpadre #PadreMaxmilianWambura #KanisaKuuLaMtakatifuYosefu

JUGO MEDIA NETWORK
JUGO MEDIA NETWORK
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 19:20:06 GMT
16278
499
6
12

Music

Download

Comments

emysong85
emysong85 :
Thank you for explaining 🙏
2026-07-20 08:21:37
0
getrudaadolfu8
getruda adolfu :
hongera sana baba Wambura kwa miaka 25 ya ukuhani
2026-07-20 06:30:49
2
user6847792042580
Nathaniel :
hongera baba ahsant kwa mafundisho yako tok nipo utoto mtakatifu mburahat 2006
2026-07-20 09:13:52
1
stanley5931
Stan additicha :
https://lite.tiktok.com/t/ZSXQCqCku/
2026-07-20 06:52:08
0
amani.simba82
Amani Simba :
🤲🤲🤲
2026-07-20 05:46:56
0
k.p.n.z.tina
@Earth to tina :
🥰🥰🥰
2026-07-20 08:05:36
0
To see more videos from user @jugo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About