@mecamedia123: ⚽ Fainali ya Kombe la Dunia 2026: Hispania na Argentina zatoka sare ya 0-0 kipindi cha kwanza Kipindi cha kwanza cha fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Hispania na Argentina kimemalizika kwa sare ya 0-0, huku timu zote zikionyesha ushindani mkubwa katika mchezo unaofanyika kwenye New York New Jersey Stadium nchini Marekani. Hakuna timu iliyofanikiwa kuvunja ukuta wa mwenzake katika dakika 45 za kwanza, licha ya kushambulia mara kadhaa na kutengeneza nafasi za kufunga. Mashabiki duniani kote sasa wanasubiri kwa hamu kipindi cha pili kuona ni timu gani itakayofanikiwa kupata bao la ushindi na kutwaa taji la dunia. Bonyeza hapa ili utu follow Meca Media: https://www.facebook.com/share/18phvhvt9x/?mibextid=wwXIfr Soma zaidi: www.Mecamediaafrica.com Mwandishi: Shuri #WorldCup2026 #Spain #Argentina #Final #Messi