mkowengi mnao tuchanganganya visivyoliwa mnavisema tunavyopaswa kula hamvisemi au kuna wataalamu wa kutambua vinavyopaswa kuliwa na wengine kutambua visivyopaswa kuliwa,au tusile chochote??
2026-07-20 11:46:21
6
Khadija khamisi :
sujawah kusikia muhogo unaengeza sukar na jimbituacheni tufe
2026-07-26 10:57:07
0
pendo :
hivyo viazi nimevipenda😆
2026-07-20 20:02:53
1
Baraka Abdi :
sasa tusikule kabisa tukufe. nita kula chakula mungu anilinde.
2026-07-20 14:30:35
1
fety :
basi mseme tule chakula gani wenye sukari ya kupanda mbona tunamtihani kwakweli
2026-07-20 12:24:17
0
rosedina :
kwenye viyazi utamu umekoseya docteur
2026-07-20 19:29:37
0
henschelzephania :
sasa tule nini bona mnatuchaganya
2026-07-20 17:25:55
0
mother spaxx :
naomba vyakula vitakavyo nifaa nile plz
2026-07-20 14:34:23
0
miraji2421 :
sasa wale nn san
2026-07-20 17:07:15
0
Marie Noëlla :
Sasa mbona unataya byote tubiache tukule basi nini 🥲
2026-07-20 16:27:50
0
user127416502941612 :
Twambie tule nini na njaa hii mantuambie tafadhali
2026-07-21 06:33:21
0
user212211833037 :
jamani jamani tuishi bila kula?
2026-07-21 14:23:33
0
linatrevor :
Nikila ndizi je?
2026-07-20 22:48:09
0
man-man :
mbona usemi tule chakula gani sasa
2026-07-20 07:06:36
0
kobo :
Tule nini sasa, Nyasi?
2026-07-20 15:59:21
0
@kanisa la t.a.g. kibirizi :
ivi tunatakiwa tule Nini ambacho hakina utam maana vyoote ni vitam na vinasukali
2026-07-21 18:54:16
0
user28115968237411 :
si tule nini
2026-07-20 16:41:15
0
Jennifer🦋💕 :
uwiiiiiii mpaka hapo nishakufaaa,,,😳😳😳
2026-07-23 10:59:58
0
JASMINE LIUNDI :
kaka vp kuhusu ugali wa muhogo au mtama
2026-07-20 11:38:37
0
simba mtoto :
sasa wapeni namna yakutumia vyakula vizuri....sio kukanya tu toweni na vyakula vinavyo sitahiki kula
2026-07-21 09:21:15
0
ALMALABIS ISLAMIC FASSION :
Sasa umetaja vit ambavyo pengine mgonjwa wa sukar hatakiw kutumia lkn umeshindwa kuwaeleza wale nn...Au ndio waje inbox😀😀😀
2026-07-21 18:08:44
0
Willy Gamba :
viazi vitamu havina sukari
2026-07-20 19:59:20
0
mwajuma :
basi tusile ina tosha
2026-07-20 12:31:53
0
Raymarise&Mussa🇹🇿 🇰🇪 🇪🇬 :
Kila kitu tunakatazwa khaa mnatutia hofu sasa wagonjwa
2026-07-20 17:47:03
0
To see more videos from user @samnature_, please go to the Tikwm
homepage.