@idrispatilo: 🌟 Karibu Sana Idris Gypsum Design & Home Finishing 🌟 Tunatoa huduma bora za kumalizia nyumba yako kwa ubunifu na ubora wa hali ya juu: ✅ Gypsum Desig ✅ Plaster & Decoration ✅ Tiles ✅ Molding ✅ Rangi (Brand zote) ✅ Skimming za Kisasa ✅ Roofing ✅ Kuchora Ramani za Majengo 📞 Piga simu: 0716 878 713 🙏 Karibu sana tufanye kazi pamoja ili nyumba yako iwe ya kisasa na kuvutia zaidi!
Idris gypsum design
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 20:15:38 GMT
Music
Download
Comments
FMDH :
mimi fundi sababu umeme apo unawaka bila shida iyo panel weka juu ya darii😁😁😁
2026-07-20 03:29:58
67
chars93 :
kwani panel hapo haikai
2026-07-31 10:43:54
2
Mr Mbega :
Keele zote mwisho wa siku lengo ndani kuwake
2026-07-20 10:51:49
8
star.. :
kifaa kinapatikan wapi
2026-07-26 10:57:42
1
Noone.240 :
Tatizo lilianzia kwa fundi alotia vibati
2026-07-20 06:07:10
12
lixy electric engineering :
usitupangie kaka boss aliomba discount 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-20 18:46:23
2
Rama d engineer 💡 :
2026-07-20 10:07:20
0
Benjamin Kayombo :
kikubwa umeme umewaka
2026-07-20 06:34:55
5
Baraka Kimambo :
halafu uliza bei ya 😂😂😂 lethal sasa na hela anayolipwa sasa
2026-07-20 03:41:29
7
Jeff Jerry :
unakuta Saket iliwekwa na fundi ujenzi.. so fundi umeme yeye kaja kuingiza waya tuh
2026-07-20 10:41:03
7
kheri ⚡⚡ Electronics :
muulize boss wako fiting ali fanya fund umeme usi toe povu ma boss wenu wana takaga vitonga wana okota watu kupunguza pesa
2026-07-21 13:13:25
4
Salum Migezo :
hiko kama unavyokiona😂😂
2026-07-20 12:28:18
2
fundi_umeme_wa_nyumba :
shida sio fundi umeme hapo ni wa ujenzi kapindisha squarebox wakat wa kuchapia
2026-07-20 19:07:05
7
samwel946 :
tafuta 🚨 VAR
2026-07-20 05:24:37
0
ADEKA Event Planning & Decorat :
ukinunua wewe inatosha😀😀😀😀
2026-07-20 03:38:15
4
G.Black King :
razor sh ngap bab
2026-07-20 18:46:05
1
Abdson Curtar :
dah
2026-07-19 22:15:04
2
young sulesh :
unapotafuta ugali wako jaribu usikanyage wawenzio
2026-07-20 19:56:31
1
Ahmad Hussein :
kabla yakuja kifaa hicho mlikua mnapiga vp
2026-07-20 11:10:38
1
Brother :
pannel inapigwa vzur kabsa hapo ni vpimio tu vyakukata😅😂
2026-07-20 06:23:25
1
zahrani fanture :
ndio kwa zanzibar zinaptikana wp
2026-07-20 04:36:38
1
wax-electrical⚡️ :
Nashindwa kuelewA nimetumia pima maji unakagulia lesser nashindwa kuelewa
2026-07-20 12:46:39
3
mfalmetuli :
kwaio majina yote ujayaona
2026-07-20 03:49:53
2
MANGi :
laser Bei gan?
2026-07-20 04:13:10
2
KIBO MASTER✅ :
fundi umeme ndiyo anapiga plasta au
2026-07-20 07:07:20
1
To see more videos from user @idrispatilo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.