@zilpazilpa615: Mara nyingi machozi yangu yamekuwa sala, lakini umekuwa mwaminifu kunibeba. Asante Mungu kwa kunivusha katika nyakati ngumu na kwa kunipa nguvu ya kuendelea kila siku. Nitazidi kukuamini, kwa sababu wewe hubadilisha maumivu kuwa ushuhuda. 🙏
zilpazilpa615
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 20:34:29 GMT
Music
Download
Comments
Maulid Neka :
helloo
2026-08-02 01:11:33
0
Lewis @ 🇰🇪#🇹🇿=🇦🇪 :
so beautiful
2026-07-31 14:39:31
0
ALEX AYUBU :
zilpa nice name
2026-07-31 16:47:41
0
Mteule 26 :
Kienyeji 🥰
2026-07-29 20:20:38
5
Levi's :
naomba unijibu dm please
2026-07-20 05:19:30
4
Brown #254 :
mrembo umependz xnaaa aky
2026-07-22 13:49:16
1
Michael Leo :
natoka saut nafika mpka nyanguge afu unazima simu sawa bhana
2026-07-25 06:25:51
1
bumbuli boy :
uuuuuuuwi
2026-07-30 16:44:52
1
hob :
Hivi ww nilikuona wap lkn???
mbona sikumbuki vzr eeet
2026-07-21 07:50:11
2
@NYANGULO🎥 🖥📡🌏 :
Dada umejaliwaaaa jmn kwa kwli
2026-07-25 20:32:12
0
ADAMSUFIAN :
okay dear thanks good 👍
2026-07-21 05:39:50
0
Fabrice Nardel :
habar
2026-07-23 19:04:14
0
Luga boE :
hujambo mtt mzr mm natokea katoro Geita mpenzi😂😂😂
2026-07-21 04:54:35
5
3 4 4 Food Point :
Hi mambo
2026-07-24 12:47:46
0
Tchoms sadock :
kazuri 💕
2026-07-21 20:17:02
0
William Emmanuel :
nikipata kama ww natulia mm
2026-07-20 05:58:30
1
MTUMISHI :
mungu akutunze
2026-07-20 15:30:32
0
LAMECK SHAYO :
mungu akutunze
2026-07-21 17:50:30
1
Abel one :
mrembo, umependeza
2026-07-20 16:07:51
0
kambulaje13 :
misa ya kwanza haina madem
2026-07-21 19:23:01
0
Emmanuel Mwakibuti :
kanisa lenu lipo wapi vile
2026-07-21 08:44:50
1
Mosses....🪶 :
NAANZA KWENDA KANISANI
2026-07-20 20:16:13
1
DeeMngoni16 :
mmmmh
2026-07-19 22:28:31
3
swai :
kumbe sikukosea kumwita Mwanangu Zilpa
2026-07-20 12:01:53
0
YOUNG KING :
YANI KIUKWEL AMEBARIKIWA KABISA
2026-07-20 19:26:20
1
To see more videos from user @zilpazilpa615, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.