@selphix_media: Kanye West akataa Ofa aliyopewa na FIFA ya Dollar milioni 20 ambayo ni zaidi ya Bilioni 51 za Kitanzania iliyokuwa kwaajili kuperfom jukwaa la Fainali ya Kombe la Dunia ambapo alipaswa kuperfom wakati wa Halftime. Moja kwa moja aliuliza list ya watakaotumbuiza na hatimaye Kanye akasema hawezi kuperfom jukwaa moja na wasanii kama Shakira, Ishowspeed na Madonna kwasababu atashusha hadhi ya jina lake ambalo amelitengeneza kwa muda mrefu (brand) Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter . Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media kupata taarifa nyingi Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zaidi #SelphixUpdates #selphix_media#tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsight #tiktoktrending
'kanye west' maana yake ndo "kanye magharibi" au?? 😂
2026-07-20 06:50:03
62
Dj Anta Mwamposa :
Kwenye sanaa misingi ni kitu muhimu sana kwa title yake naona ni kitu sahihi
2026-07-20 03:41:53
46
Hudumia :
Kwenye ela sina brand
2026-07-20 01:31:12
27
Robinho💀💥 :
Brand muhim
2026-07-20 05:33:20
8
rinstore4 :
Uyu nae anaakili zake binafsi tutamfatilia
2026-07-20 07:01:57
13
RONYA BOY :
successful based on reason and reality 🔜💸💸
2026-07-20 06:33:57
3
Abc :
wangenipa bilioni moja tu jaman ningepafomu ata miaka miwili
2026-07-20 14:03:50
9
Chriss - Tinnah :
Uzuri wa wazungu mpaka ana uhakika lkn kataa ww hapo ofa ya laki tano uone maisha yatakavyokupiga, ni kama tumerogwa. Na hapo yeye ana uhakika wa show zingine.
2026-07-20 06:08:18
7
Sule_gy🍒🍒 :
sasa kama Kanyewest mwenyew amekataa, alaf unasema mm niwe kanyewest tna si ningekataa vile vile kwasabab hakun ambach kingebadilika. yeye kanyewest na mm ningekuwa kanyewest ningetaa vile vile
2026-07-20 07:14:39
7
cieloliz :
yupo sahihi huyu ni genius 😂😂😂
2026-07-20 06:37:16
12
shakiraissa034 :
kwake hiyo pesa ni ndogo sna si uongo
2026-07-20 06:31:23
5
🩸 :
hata mimi ningekataaa
2026-07-20 08:13:08
1
🛜📶 :
M ningechukua alf nikakimbia😂😂😂😂
2026-07-20 13:53:38
0
Crystal breez :
kweli kushusha bland ela ipo tuu
2026-07-19 23:18:24
7
Wanted Sniper :
Yupo sahihi
2026-07-20 07:28:11
1
Francis Mbasha :
Yuko sahii kabisa
2026-07-20 07:20:20
2
sanny boy 6 :
pesa anayo milik huyo mtu ni balaa so hiyo dollar 20 sio kitu kwake
2026-07-20 08:47:34
6
Monika Kaparisya :
mweeee
2026-07-20 06:27:46
1
mwiba :
Tsh 51,000,000,000
2026-07-20 06:48:24
1
epifanialema :
wangejarbu kwa jay z
2026-07-20 08:27:29
2
To see more videos from user @selphix_media, please go to the Tikwm
homepage.