@sulesh_2025: #creatorsearchinsights #viral1millionviews #viralmoment #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupage

SULESH
SULESH
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 20:49:37 GMT
128908
2699
455
115

Music

Download

Comments

zamzam.ali49
Zamzam :
My dear relax
2026-07-20 12:13:39
0
shuheida
shuheida :
kazi ipo hhhhhhhhhh
2026-07-20 06:34:59
1
lydiasongoloka
songoloka lydia :
pressure itamnyonga
2026-07-20 06:41:42
1
mursally8
mursally8 :
No comments
2026-07-20 10:30:05
0
ladenrashe
laden rashe :
mtamuelewa tu kidogo kidogo wote kazi ni moja ni kuamrisha mema na kukataza maovu
2026-07-20 05:50:03
69
user8788143241922
user8788143241922 :
mi simuelewi naona anatufokea tu kiongozi gani asiyekuwa na busala ya mazungumzo
2026-07-20 02:50:35
76
liamtewodros
Liam Tewodros :
Eid tutafika nae kweli 😂
2026-07-20 12:37:40
24
makey._.1969
makeyfatuma :
nenda polepole watu ndio haohao!!!! wakitoka kwenye mpira wanaingia msikitini👐👐
2026-07-20 09:20:57
50
tanzania.zaykaree
Mama Boys :
Anatupigia kelele sana,asitufokee Bwana
2026-07-20 04:49:00
17
nasra85757
Nasra~ :
Nimejifunza kuwa binadamu hatufanan kila mtu ana namna yake ya kuongea au kufikisha ujumbe kikubwa ni uelewa tu
2026-07-20 05:16:54
25
salumkassim476
Dalot 02 :
Sheikh yup sahihi sana ila watu wanaleta mzaha kweny dini Allah atazidi kumuongoza Inshallah 😔.
2026-07-20 05:14:27
21
richiepatrice
Richie .p. :
mbona ana hasila sana huyu kiongozi
2026-07-20 04:48:20
26
halimamavyombo
Halima mavyombo :
naon anatufokea ty hiz zot hasir kwa sabab atumpend yey
2026-07-20 05:35:18
15
divathebawse
Divathebawse :
wanaoswali si haohao
2026-07-20 17:34:04
8
umu.hanan68
umu Hanan :
Sasa nimeanza kupata picha kamili haya maneno yanalenga Walid mwenye akili ataelewa Kwa sababu Walid alikuwa anaelewana na kila mtu yatafakari maneno haya
2026-07-20 05:26:44
8
mwana.swalehe5
mrs manta :
Tatizo si kumuelewa tatizo anatufokea
2026-07-20 07:40:33
7
user1427942909776
MISHARY :
Anafaa kuimba hip hop kbsa sio kwa kufoka uko
2026-07-20 06:51:23
5
madamlatty
madam latty :
shehe wetu kipenzi Walid hakuwahi kutufokea ujue
2026-07-20 05:01:18
13
hellen.panga0
Hellen panga ♥️ :
Ni kwamba watu wengi wamechukizwa na kitendo alichofanyiwa shekh Walid sasa kumwelewa huyu itachukua mda ,,me mkristo lakin shekh walid must be respected
2026-07-20 11:59:11
8
nasirsaid535
NASIR YAHYA RICKADY :
tatizo umekuja na umekuta Tayari umesha andaliwa chakuongea,,,kikubwa Mimi binafsi nampenda shekh Walid,sababu hatufokei na anacho tufundisha tunakielewa
2026-07-20 08:25:29
5
sule.white123
king sule 👑👑 :
yupo against na Walid
2026-07-20 01:26:53
9
washehamakame
Washeha Makame :
awe mpoletuu kunamambo hayahitaji hasiraa maana ao watu wa mpira miongonimwao pia waislam
2026-07-20 02:28:48
12
selemohamed58
Sele Mohamed :
ana jazba😂
2026-07-20 03:50:47
6
mbugihashiri
mbugihashiri :
UKWELI NI UKWELI NA UONGO UJITENGA,UKIONA MTU ANAZUGUMZA KWA UKALI HUO UJUWE HAKUNA KITU HAPO
2026-07-20 03:17:23
6
hanifa.hasan25
Hanifa Hasan :
nimemfAhamu kuwa anawivu na Ali kamwe aliposema akamsalimie shekhe walid
2026-07-20 02:03:01
11
To see more videos from user @sulesh_2025, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About