@hearing.gods.voice: Namna ya kumuondoa mchepuko! Vita hii ni ya roho sio mwili#pastortonykapola #pastorroseshaboka #mwamposa #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿
😂baba kama mchepuko ndo unampenda anakupa amani 😂😂tufanyajeee😂😂😂🙌🙌🙌🙌🫴
2026-07-20 14:55:00
2
Aurora :
Nahitaji counter book kuwaorodhesha yoyoyoyooooo 😂😂😂😂 sio karatasi tu
2026-07-21 16:08:54
0
naomyjones :
kama ametekwa na pombe....tafadhali
2026-07-20 23:21:01
1
user7784007142546 :
anamichepuko wengi na hata sjui ni Nan nmshugurikie Nan nmuache lkn ndoa yangu ni mwak na sehem ni Kama imekufa ila imebaki Tarak tu nifanyaje sasa
2026-07-20 16:50:37
1
user8676916351348 :
Asante ngj nipke ugali Nile nishibe then niingie chumban nikasali
2026-07-20 11:33:03
2
Happiness Benedict :
Jina sijui ila namuona nafanyaje jmn😂😂😂
2026-07-20 15:53:46
0
🥰🥰 :
nchi bila vyama pinzani ni bureee
2026-07-20 13:28:37
1
user4325707727061 :
samahn pastor nijbu swali je Kam hyo ndoa àmeenda Kwa mganga akaipata apo unashaur nn maan tunaomba ndoa nyingi za hvyo zimekua zinawekwa Kwa waganga na c Kwa MUNGU
2026-07-20 14:07:26
1
evil woman :
mim niliomba nijuwe mambo anayo nifichs nilifunga siku Tisa nikajuwa vitu ambavyo sikuwai kujuwa hata siku Moja na nashukuru wote walijipost kabisa na picha wakiwa ndani kabis ukwel tushaachana na ninaamani sana kwa sababu mungu alinijibu kwa usahihi kabisa
2026-07-20 15:37:37
0
Ms@baby g💃 :
nyiee msikilizen mtumishi ohoooo yani ukifatilia iki kitu ni shwaaa haichukui mda wanaseparate...ni shwaaaa ni realy kabisa
2026-07-20 19:12:45
4
Sweet Manka ❤️🧠 :
hili neno ni hakika naushuhuda na hiii dhidi ya mtu wangu wakaribu alisimama na huuu mstari na akafanikisha .
2026-07-20 16:06:05
3
awezae mutunda :
Amina
2026-07-20 06:59:29
3
-fAybiTes- :
Baba mimi nilijiongeza kwa kuflash jina lake chooni.
2026-07-20 20:15:18
1
official Jesca :
ameen
2026-07-20 13:55:43
1
rutha J :
imekwendaaaa hiyo
2026-07-20 12:57:01
1
Neko Marts Store :
Mwanzo 11:1-8
2026-07-20 14:54:47
1
Nouraisha capricon :
asante mtumishi wangu mwenyezi Mungu akubariki sana zaidi ya sana
2026-07-22 11:25:36
0
Jecab :
Amina
2026-07-21 08:03:58
0
To see more videos from user @hearing.gods.voice, please go to the Tikwm
homepage.