hii ndio ndoto yangu inshallah 🙏 mungu anijaaliye Amin 🤲😍
2026-07-20 13:37:40
114
Mom 🥰 :
nataka structure ya vyumba vitano,,and two kitchens,
2026-07-22 12:06:05
0
Najmathoo 🦋🤍🦋 :
Please 🙏 Nataka ya 1 masterbedroom, 3 bedrooms, 3 bathroom, kitchen, store dining,siting room
2026-07-20 14:56:00
5
Mago :
pamoja na kutufungia tusichukue video. mi nime screenshot
2026-07-21 08:29:34
17
life of najmah :
kumbe ni mm ndio tu ndio Sina hela ya kujenga Kila mtu anataka nyumba ya vyumba kdhaa
2026-07-21 13:06:25
1
Elizabeth Liz :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 naomba ya chumba moja sebule jiko na choo shake nakusubiria please nasiachi kuku follow ile nipate ujumbe wangu haraka naomba 🥰
2026-07-22 21:01:14
1
Joseph Godlisten 🤲✝️🛐 :
ya vyumba vi 4 please
2026-07-21 07:37:33
4
ummu Wildaan :
Kwahyo mwataka kusema nyote humu mnajenga😄
2026-07-21 10:25:31
4
BELLA QUALITY SENDO🛍️ :
Mbona sioni vyoo
2026-07-21 11:45:03
1
zuuh🥰😍 :
room 2 watatumia choo moja but room yngu ntaka iwe na choo ndani😊😅
2026-07-22 10:38:19
0
Mama Ayman❤️🫂 :
hiyo n yavmba vingapi
2026-07-21 14:35:51
0
Sweetsab Ali :
mi naomb nkuulize iv 35 kwa 35 unaweza kujenga vyumb vitatu?
2026-07-21 15:50:27
0
Toto bad :
naomba ya vyumba vitatu ila kimoja kiwe cha master
2026-07-21 16:02:13
2
Cute naifar :
nataka ya nyumba 5 nayakisasa
2026-07-21 07:46:44
4
lee :
tuko pamoja hhah
2026-07-22 11:18:46
1
lastborn Wa Babaye :
natak 3 bedroom with a store room
2026-07-20 13:23:51
0
ashuu model :
nzuri kwel...nataka ya chumba kimoja
2026-07-20 12:06:32
1
dolice :
mm naomba unitag kweny nyumba ya vyumba 8 sebure 1 choo cha ndan na bafu na cjimba kimoja kikiwa na choo ndan humo na jikoo na sehem ya kuoshea vyombo kabla kufika jikon na kisehem cha kulia chakula karibu sebure naomba unitag plz
2026-07-21 15:05:54
1
vero :
naomba unitumie ya vumba viwili
2026-07-22 08:32:03
0
Emmy classic 🌸🌸🌸 :
Basi mi nipate ya vyumba viwili pls
2026-07-22 14:43:36
0
Mom🥰Charity😍 :
Raman ya nyumba sh ngo
2026-07-23 12:03:38
0
ZUPHA🌟 :
Hii raman n ya nyumban kwetu
2026-07-22 12:45:47
0
Mom🥰Charity😍 :
Sh ngap
2026-07-23 12:03:45
0
Latifa Ngomeye :
mi naomba ya nyumba upande nyumba ya wapangaji vyumba 4 or 6 upande mwenye nyumba please
2026-07-22 04:08:56
0
To see more videos from user @jenganayahna, please go to the Tikwm
homepage.