@ali_wisdom: Zingatia... Maisha yamejaa watu wanaosahau haraka mema yote uliyowafanyia, lakini hukumbuka kosa lako moja kana kwamba ndilo pekee walilowahi kuliona. Usiache kuwa mwema kwa sababu ya hilo. Tenda yaliyo mema kwa moyo safi, kwani shukrani za watu hubadilika, lakini thamani ya wema wako haibadiliki mbele za Mungu na dhamiri yako. #creatorsearchinsights #viralvideo