@chosenone_tz: Staa wa muziki #harmonize amchana #kajala live kwenye show yake Tabata akidai kwamba analinga, sijui anamuona yeye bado mdogo. #chosenoneblog

chosenone_blog
chosenone_blog
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 01:28:45 GMT
462653
22579
515
1247

Music

Download

Comments

siajerry6
siajerry :
Haongeag mpka kaongea huyu baba 🙌🏼
2026-07-20 04:52:44
1148
tcjoy5
tc-joy💗💗 :
yaani sahivi watoto wanataka tuwaheshimuu😂😂
2026-07-20 08:56:47
292
mchagaofficial..1
Mchaga Org 🇹🇿 :
sasa apo ulkua unatembea tembea unaenda wapi mzee 😁😁😁
2026-07-20 06:44:37
598
dinnahnanyaro
Dinna Nanyaro :
jaman nimeumia kuskia hivyo kumbe kaka anavumilia mengi
2026-07-20 06:35:39
279
reytorreslanda
reytorreslanda :
soon Rajabu anapeleka Range kwa ajili ya msamaha
2026-07-20 06:43:06
688
like.wise22245
LIKE _WISE🦋🤗 :
Sas anaend wap jmn
2026-07-22 11:45:36
0
lucyisack105
Lucy Isack :
shida wewe umempenda,ila yeye kwa moyo hajakuweka na akufikilii
2026-07-20 06:42:48
117
u0love
love_ :
khe😂😂😂jmn
2026-07-22 11:07:53
0
pyeejm25
@ it's pyee :
ila harmonize 😂😂😂
2026-07-21 19:48:27
0
user5600157244982
shamuu🦋🦋🦋 :
20/20
2026-07-20 20:48:58
5
herieth938
Herieth93 :
HORMONIZE Yuko sahihii bn🥺🥺🥺🥺
2026-07-20 07:12:49
36
cleopatra_pretty
cleopatra_pretty :
Nitunzie Siri zangu za miaka rudi nenda kuna leo na kesho hata maadui zangu walikuwaga wako hawawez kukupenda wanakuvuta uwe kichekesho 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-07-21 02:25:22
26
sarakilungi
kilungi✨ :
Kila neno anatembea hatua chache 😁nimependa hyo
2026-07-20 06:44:57
51
preciousngwando
Precious ngwando :
but umefall in lov harmoniz i know
2026-07-21 08:13:44
0
mgisha.mboyelwa
Mgisha Mboyelwa :
hapa ndio unaona utofauti wa ALIKIBA na wasanii jamii ya DIAMOND huweka wazi kila matatizo ya mahusiano yao
2026-07-20 07:12:58
74
khalfanikiluwa755
Khalfani Kiluwa :
labda kajala kachoka na range hebu jalibu kumpelekea meli sawa kaka
2026-07-21 10:02:43
7
specious196
specious :
tulia sasa utuelezee vizur
2026-07-21 07:45:02
7
suzzy5973
suzzy 🤱❤ :
kajala hampendi Hamo anapenda pesa zake
2026-07-20 13:49:30
6
mam_faah
♍️ 🦋 :
Rajabu Tuko Hapa Tunasubiri msamaha Wako😂
2026-07-20 07:57:15
16
soudy.brown4190
TIGER🐆 :
Sasa hapa tutegemee hit song soon
2026-07-20 12:46:46
9
ishaz558
chi💕mami🇹🇿llioni💵 :
Kwan hii ya lini kabla sijaanza kulia
2026-07-20 07:16:45
118
julys037
kibomba jeshi lamtu mmoja🥰😎 :
imeniuma jamani🥺
2026-07-20 07:40:53
13
ruthi_cuttie
Ruthi_cuttie❤️🍎🦋 :
😂😂 Yaan kuna jinsi hanieshimu
2026-07-20 09:27:53
11
To see more videos from user @chosenone_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About