@giantbeatricekayo: Anaweza Kufanya Jambo Jipya kwenye Maisha Yako Ndani Ya Wiki Hii Mpya ✋🏼 #GIANTOFFAITHGENERATION⚔️ #GIANT🫡 #KAYO #WORSHIPER #MOTHEROFNATIONS
yesu tufungulie mlango wa baraka wa kuolewa na kuowa hata sisi isikiwe sauti ya mashangilio kwetu
2026-07-21 09:15:54
27
Tons🥺🌹♥️ :
Me Namshukuru Kwa UHAI Nakemea Pepo La Umauti 🥺🙏
2026-07-27 05:50:35
5
Agnes Justin :
nimechoka Sanaa, Sina nguvu Tena, nimebaki kama kopo sihisi chochote Tena, kiroho nimekufa kabisaa Sina hata nguvu ya kuliitia Jina lake Tena hata kanisani siendi Tena, sijui nifanyaje Nini au nisema Nini Ila nipo nipo Tuu, MUNGU nisaidie.
2026-07-24 15:46:20
10
lamborghin :
betrece
2026-07-28 10:10:33
0
mercy 🥰♥️ :
Mungu wanguuu anipe MTU atakaye nipendaa
2026-07-20 12:22:28
9
Coco cute🥰🥰 :
Mungu nifanyie jambo adui zangu washangae naomba mungu wangu
2026-07-28 20:13:17
0
jackline :
mungu aniondolee uchungu ndani ya moyo wangu na anipe amani ya kweli ile itokayo kwake
2026-07-21 15:30:43
6
Modesta Modesta emmanuel :
Natamani niabudu pamoja nanyi
2026-07-22 19:47:47
2
MBISE Quality 🛍 :
Mungu azidi kufungua milango ya barak kwenye maisha yangu😭🤲
2026-07-22 10:25:04
5
Faubless Ngassa :
Nimebarikiwa jamniiii🙏
2026-07-20 07:12:15
0
catherine :
Nipate kazi jmn Mungu wangu Nitendee na mim
2026-07-20 13:18:45
0
inessy 0309 :
Namuomba MUNGU wale wote ninaowadai awafanyie wepesi wanilipe kwa wakati🙏🙏