huyu ni Mimi alituma nauli dar to Arusha saa 11 asubh nikamwambia ndio naenda stend saa moja nikampa mpangaji mwenzangu akamwambia mwenye hii SIM amipata ajali na ww nimeona jina ni mtu wa mwisho kuwasiliana nae kaumia vibaya kapoteza faham😂 alikuwa anapiga SM nampa SM Yule dada anaongea nae karibu wiki nzima na akatuma pesa ya matumizi hospital na bill 😂😂😂😂🙌hi zambi sijui nitaendaga kujibu nn Kwa Mungu 😂😂😂
2026-07-21 10:41:59
5
Kalungi Finias :
saafi mwanetu we uliudhuria vikao vema!🥰umesamehewa 7×70
2026-07-20 14:02:57
31
HAPPY❤️💕 :
Status teal 😁😁
2026-07-21 10:20:14
0
OFFICIAL MSIGWA SON 😂😂 🔥🔥 :
nachoka mm
2026-07-20 16:56:39
0
IBRAHIM JULIUS.com :
I confess
2026-07-20 16:13:30
0
Baby_lecious💝🎀💘 :
Ila nimcheka kwa sauti😂😂😂😂🙌
2026-07-20 07:46:24
18
Elizabeth damas 05 :
najuta zambi zangu zote nataka kweli kuziacha ee.yesu wangu nisamehe
2026-07-21 05:42:37
10
mara princess 👸♥️ :
baada ya siku mbili nikamwambia tuachane kaanza kuniomba msahamaha🤣🤣🤣