hivi wanatamani sana huu uteule wanadhani ni kitu rahisi 😂😅
2026-07-20 09:36:16
13
up coming boss lady :
ushauri wanguu wasitamani kabisa hayooo maisha siyio rahisii kabisa wala ya kutamanika sometime
2026-07-20 10:21:15
3
Bin :
Unajua kuna vitu unaviongea hadi nashituka 🥺 sasa unanifanya nifunguke kuhusu zile sifa nilizokutumia kuna moja Nilikwambia kua uwezo wa kutambua mambo makubwa kuliko umri wako. Nikwamba Roho imeshawahi kuishi zamani na ikashinda sasa karudi kwa kazi ya Mungu na maendo tofauti na maeneo za zamani Unahitaji Roho wa Mungu kuelewa haya
2026-07-21 21:42:58
4
user9947560547269 :
Ndo maana me najua vtu vingi mpaka nashangaa😂 yaan kila ktu
2026-07-20 10:39:14
7
Cappy♑🐐 :
Kuna mtu nilishawahi kumwambia wakati baba yangu anazaliwa nilikuwa na miaka sita akakataa🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 05:38:25
6
Paul Itala :
naomba niulize swali.yani ishara kubwa ya choosen one ni kuwa na Alama M au?
2026-07-20 11:36:11
2
paul :
unaingia live sangabi dadaangu
2026-07-20 07:39:20
1
Leaders 0f Black tz.💥💫💥 :
wambie dada mteule anayoyapitia ata azaliwe upya afikii hasolingi za mteule ningumu ni na nichachu hakuna anaeweza kupitia ni Mungu tuu anasaidia kukuvuxha
2026-07-20 19:14:13
2
isihaka Mohamed :
i like it
2026-07-20 05:42:19
1
joge :
Utanisaidiaje natakata unisaidie naona ni kama unaweza kunitatulia vzr nakuomba dadaangu.
2026-07-20 16:45:43
1
DJ Coni :
nikweli
2026-07-20 07:54:29
2
Mercy :
mm pia niliishi zamani..ndo nikazaliwa tena,lakin nilizaliwa😊
2026-07-20 19:41:57
1
W-kully 😘 :
Mtu akikuzurumu umfanyeje alafu ww ulimtendea wema
2026-07-20 18:40:20
1
Mr Nation :
nakumbuka kuna kipindi nlikua namuangalia baba na mama angu halafu najiambia mbona hatufanani lolote mbona hawa kama sio wazazi wangu😂 yaan hizi mambo sio rahisi unaweza jikuta unajiuliza maswali yakakufanya ukae pekee yako mda wote
2026-07-20 12:04:13
1
mbugua muchoki :
Utajua je uliishi
2026-07-23 09:14:14
0
Maluli The Great :
hivi unajuaje kuwa ni mteule
2026-07-21 16:29:59
0
efremmwenda435 :
Hao MUNGU AWABARIKI Walete neema
2026-07-20 12:06:01
0
😇CHOSEN ONE🇹🇿 :
2026-07-20 17:41:27
2
Maluli The Great :
maana kuna sometimes huwa kuna vision flani huwa nazionaga but sijajuaga kuna vitu naviona kama before vilikuwepo
2026-07-21 16:31:08
0
Gk² :
ñdo maana unafika mahali unapàonakama umai kuwa hapo na ukumbuki okay
2026-07-26 15:38:26
0
shabanhasani38 :
nakupenda sana
2026-07-21 21:12:06
1
abraham Henry :
mmmmh
2026-07-23 15:03:46
0
Ms_ :
unakuta kila mtu anasema yeye ni choosen one, wengine ni changamoto tu za maisha ambayo mtu hupitia. guys sio rahisi hawa watu wanaanguka wanainuka mara nyingi na mwisho wa yote wao ni washindi tu. ila si rahisi kama wengine wanavyodhania
2026-07-21 17:56:00
0
officially Nainai :
Mie nashangaa wat weng wanakuja kuniamby shida zao jmn mpk naogopa
2026-07-20 14:03:50
0
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.