@mr.noname390: Nasikia tulifiwa??😭😭 #viralvideos #fypシ #goviral

Mr. Noname🙅‍♂️---
Mr. Noname🙅‍♂️---
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 06:20:24 GMT
197573
14957
1555
1158

Music

Download

Comments

user2848816050372
mabula mk :
happy new year 2026 ukawe mwaka wenye baraka simu ilikuwa kwa fundi ☺️☺️☺️
2026-07-21 05:14:20
623
ketty9139276811477
KIM_oddoh :
R.i.p watanzania wote najua mwaka 3001 hakuna mtu atakuwa hai msijesema sikuwawish
2026-07-21 06:23:18
746
user21532547804142
salhatiabduri :
naenda kukushitaki kwa kunichekesha asubui yote ata mswaki sijapiga😂😂😂
2026-07-21 04:59:56
292
muddysgdtown
muddysgdtown :
Hii nchi itakuwa ipo nje ya dunia 😂😂
2026-07-21 08:59:01
356
marthavenance29
Chiku :
Hiii nchi kunasehemu imetoboka niaminini me mtakuja kunixhukuru 🤣🤣🤣
2026-07-21 06:03:43
267
dollyidhumail
dolly💋🧚 :
😂😂... anae daiwa songesha kama mimi
2026-07-21 06:44:52
139
eva.sukabu
Eva sukabu :
kila mtu atachanganyikiwa kwa mda wakeee ndo hivy yani
2026-07-20 19:59:21
123
user7559542593382
Minah :
Eeeh mungu lakin c unamuona anavo tufanya tuonekane hatuna majonzi 😂😂
2026-07-21 12:15:18
74
sammyang.michael.4
Timmy_cute💞💃😜 :
Na hukuskia tarehe 29 tulifiwa pia😭😭
2026-07-21 08:56:53
67
mcheq_tz01
Mcheq_tz ✌️ :
Kule fb wanasafishiwa pich😁
2026-07-21 08:52:27
24
therealjuju133
Therealjujuu :
maliza kulia nikwambie messi hajachukua kombe la dunia😅
2026-07-22 22:57:08
13
irene.mmassy62
Irene Mmassy :
Nilijua mimi ndo kichaaaa mwenywe kumbe kunaaa vichaaa vingi😂😂 njoo dodomaa tukae😂😂😂
2026-07-21 06:06:16
19
mwana_watoto_shop
Mwana_watoto_shop :
Ifike mahali wafungwa wapewe simu Jamani!😂😂
2026-07-21 09:23:28
26
forest...finnest4206
Chiomma.wa baddest4206 :
Hii nchi uhuru mwingi😅😅😅
2026-07-22 20:05:44
5
pascal_0390
Pascal 🇹🇿 :
Tanzania🇹🇿🇹🇿 nchi yangu 😂😂😂🙌🙌
2026-07-20 22:09:39
22
luciatrend5
LUCIA TREND🌸🥂 :
ila comment zinachekesha sana😂😂😂
2026-07-21 19:08:33
9
a0ntz255
𝐌𝐢𝐬𝐬 𝐀 :
hiii inaitwa kesi ya uhaini sasa mwanasheria wako ninasafiri sitorudi leo mimi 😅😅😅😅
2026-07-21 16:07:51
19
amisack_
am_isack :
yaan hii nchi kila mtu anachizika kwa namna yake..,
2026-07-21 08:12:53
7
twalibu.lsihaka.m
Twalibu lsihaka Mkolomi :
pole wenzio tulilia zaidi ya king'ora Cha ambulance
2026-07-21 07:22:53
103
globalsamtv
GlobalSam tv :
vipi uchaguzi umeendeje , mkapa ameshinda kura ?🥺🥺
2026-07-22 10:37:46
20
bomanism2025
bomani :
naomba niwaambie mim ndo yule mtoto wa wema na whozu
2026-07-21 18:32:38
7
vinawaka2
Happynessmbalo :
Mambo yashakua magumu nini had umemkumbuka rais Magufuli 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 16:37:55
123
ownwise20
pure heart💥💎 :
I will be back in 2028 inshallah😂😂
2026-07-22 12:16:05
23
user0784682538
scoty Wcdy :
🤣Daah Bongo yangu hiii 🙌. Mungu aijaliee
2026-07-21 08:47:02
5
mg.boy.official0
MG BOY OFFICIAL :
najuwa haiwahusu nimepata NIDA😁😁😁
2026-07-21 07:32:15
32
To see more videos from user @mr.noname390, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About