@zaramoonlinetv: Mshambuliaji Prince Dube ameanza vyema maisha yake katika timu yake mpya ya Zimbabwe Hard rock baada ya kufunga goli lake la kwanza tangu kujiunga na klabu hiyo. Bao hilo limewapa matumaini mashabiki wa timu hiyo kuwa Dube atakuwa msaada mkubwa katika safu ya ushambuliaji msimu huu. Hongera, Prince Dube! 👏🇿🇼

ZaramoOnlineTv
ZaramoOnlineTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 06:24:53 GMT
105899
2876
15
21

Music

Download

Comments

fred636024
fred :
pamba na brother
2026-07-20 14:03:07
2
user255702681216
ANDREA JEREMIA :
Mbon mnapend kufatilia maisha ya watu
2026-07-20 15:40:13
3
shirima.erick
BLACK BOY👊👊👊 :
mbn iyo lig haina mashabiki
2026-07-24 10:14:30
0
andrew.emmanuel60
andrew emmanuel :
mbona mashabiki hamna ni mazoez au kuna lock down??
2026-07-21 19:14:16
0
m.bishi.mc320
Official Fredy Voice🔥 :
Ligi haina mvuto mashabiki enyew hamn Kam Friend mech bn😂😂😂
2026-07-21 06:49:42
0
maalifa.lukas
Maalifa Lukas :
kwan kwao lig kuu imeanzaa
2026-07-20 18:04:11
0
hashim8469
H-R-Nkayaqwa :
ukuta wote unaogopa kuruka juu 😁😁😁
2026-07-20 07:34:18
0
princess_fetty60
princess_fetty60 :
Hatariii
2026-07-20 15:02:45
0
isackafute
jaguar_jr 👑✊🏾 :
Hata hapendezei hukoo yanii
2026-07-20 18:09:59
0
ghostwizard3
Ghost{ff}max :
mbona mashaboki akuna
2026-07-20 14:42:33
0
juma.lungwecha
Juma Lung'wecha :
😳😳😳
2026-07-20 14:47:15
0
jrkichwamtambo
jrkichwamtambo :
💚💚💚💚
2026-07-24 19:25:27
0
To see more videos from user @zaramoonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About