@tvstanzania: Je, unazitambua ishara hizi unapoziona barabarani? Unapokuwa barabarani, madereva hutumia ishara mbalimbali zenye ujumbe muhimu unaosaidia kufanya maamuzi sahihi, kuwasiliana na wengine na kuhakikisha usalama wa kila mmoja. #UsalamaBarabarani #TVSTanzania #CarAndGeneral #EndeshaKwaUangalifu #RoadSafety