@cawabemedia_: Katibu wa Shura ya maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda akielezea kwa undani mgogoro wa ardhi ya Chang'ombe Markazi na namna ilivyosababisha mtafaruku baina yao na Baraza kuu la waislamu BAKWATA. Sheikh Ponda ameyasema hayo kwenye kipindi chetu cha Political Theatre.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 06:43:24 GMT
23152
698
31
33

Music

Download

Comments

user68058394114290
user68058394114290 :
Sasa huyundio shekhe. wa waislamu wapenda haki
2026-07-20 09:23:21
7
lusekelocharles30
mmojawapo :
nguvu ya sisiemu hiyo, imetengeza hadi machawa ndani ya dini ili kudhoofisha waumini, big up kwako shehe Issa ponda
2026-07-20 09:07:32
11
lilu.class
Lilu class :
ilaaa bakwata wahun saana wanakera mnooo shida wanasimamiwa na serkal wa ccm
2026-07-20 12:27:50
8
abuu.dhulqarinain3
Abuu Dhulqarinain :
ALLAH AKUKINGE NASHALI ZAO
2026-07-20 15:23:16
3
omari9769
Omari✌️ :
Bakwata ndio Tatizo kubwa kwetu sisi waislamu Bakwata awapo kwa maslahi ya waislamu sure
2026-07-20 18:25:08
4
kamwelamohamedi
Kamwela Mohamedi :
huyu ndo mmiliki wa ILALA ISLAMIC SCHOOLS
2026-07-22 21:26:49
1
fadhil.omar63
Fadhil Omar :
bakwata ndio wameuzaa
2026-07-20 12:28:13
3
hashilhashil82
hashilhashil82 :
sheikh wa waislm Masha Allah Allah akupe umri
2026-07-21 13:25:44
1
abdiramadhan5422
Abdi Ramadhani :
kunaanza kuchangamka shekh ponda uyo
2026-07-20 07:35:07
2
jumamask
j.s.m :
so sad
2026-07-20 08:11:58
0
chidy_turn_up
Chidy_turn_up :
wait! Mwaka moja?
2026-07-20 22:22:29
0
asha.masoud7
Asha Masoud :
pole sana na mitihani
2026-07-20 12:56:35
1
ayoub.yusuf2
Ayoub Yusuf :
bakwata wanauza tu
2026-07-20 11:34:08
2
fatima.iddy
Fatima Iddy :
subbuhannallah,,, wallah niaibu,, bakwata jamani haifai,,, hiyo ni CCM iliyo jificha kwenye dini
2026-07-20 08:53:33
1
user30206558472420
kajiru :
Inauma sana
2026-07-23 09:53:46
0
s..sakilo
S. Sakilo :
Shekhe wangu Walid hata usirudi tena Bakwata wakikuteua kua kiongozi yoyote. Baki tu na Kufundisha kwao
2026-07-22 12:39:08
0
chorolive8
chorolive :
innalilah wainalillahi rajuun
2026-07-20 12:04:01
0
user9884474493942
fat00m❤️ :
yanimimi nakupenda ponda atasijui nisemeje unamoyo mzuri
2026-07-20 12:03:19
0
babakearapha
Ba arapha :
huyu shekh ninashida nae aise nataman nipate hata namba zake aise nimtumie pesa ya soda ... mwenye namba zake naomba ....
2026-07-20 16:25:45
0
juwairiamikidad
Juwairia Mikidad :
bwakwata ni wahuni sana tumeshawachoka
2026-07-21 01:25:12
0
allyabasi4
Ally abasi :
kwenye Hilo ulikua sawa sana na tulikuunga mkono 💯. japo siku hiz unazingua.
2026-07-21 01:04:26
0
user1746681598670
Kassim Rashid Mohammed :
Hio ndio kazi ya.bakwata
2026-07-20 21:24:31
0
mtotela.25
MTOTELA 25 :
Kuna watu PEPO wataisikia kwa zurma
2026-07-20 21:10:11
0
hannsmaggeida
Hanns Maggeida :
Ponda Issa Ponda
2026-07-20 17:00:28
0
bongoderby
bongoderby :
bakwata ni wapigaji sana
2026-07-20 12:29:17
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About