walio toa machozi jmn tujuane😭 mungu atulindie watoto wetu na majanga
2026-07-20 16:25:30
380
Datuford :
vp Disk ??
2026-07-25 10:23:47
0
ikram iddy :
hii ndo tuliaminishwa kuwa ni ushilikina lakini afrika tunavitu vingi sana kuwazidi wao mtalaam mungu akuzidishie
2026-07-20 16:56:14
290
biubwa :
maskini pole baby
2026-07-24 07:18:50
1
saginethomas376 :
dàh very 😢😢
2026-07-25 11:43:16
0
vitalisfesto :
get well soon mtoto wetu
2026-07-24 10:09:16
0
Malkia wa kajo house of beauty :
Doctor nisaidie dawa ya usingizi nikilala saa mbili usiku nisiamke hadi saa mbili asubuhi 🥲🥲
2026-07-21 16:13:05
30
Nevermis :
hongera sana kaka, unatakiwa kichanganya maarifa mfano dawa za usingizi ili kiwapunguzia maumivu wagonjwa lkn hata ww kufanya kazi Kwa uhuru. ni mawazo yangu
2026-07-20 17:00:00
86
back trace :
nishangae yan useme una uvunja bila maumivu thubut
2026-07-20 19:28:24
39
Kinyara Grapher📸🌍 :
Tukitoka na apa Tunaenda Beach Kuoga Oga😂😂
2026-07-21 22:13:26
31
Deacon_david :
Hili jambo lilinitokea mwaka 2012 mfupaa ukaunga vibayaa .... sikwenda hospital kurekebishaa watu wakaniambia utakuwa sawa.... now nimekuwa mlemavu wa kidumi mguu umekuwa mfupi na madactar wanasema haufaii kurekeibisha tenaa Daaaah 😭😭😭😭
2026-07-20 18:09:14
18
Frida Mkwizu :
Daaaaaah. Binafsi nimeuasikia maumivu ya huyo mtoto jamani. Mungu amfanyie wepesi apone kwa haraka mtoto wetu🙏🤒🤒
2026-07-20 18:32:18
24
Den_myaluh_ :
nimesoma herbal medicine, Daktari anajua
2026-07-21 21:40:20
5
Daddy Jayjay :
Mungu akubariki sana brother
2026-07-20 18:56:33
5
Beija Habibty :
😭😭😭nani amelia kama mimi ?? nani ameumwa na tumbo la uzazi kama mimi 😢😢😢
2026-07-21 21:41:55
10
K!$uGuRu D€ $@nTon$☠️💔 :
Hadi na mimi nimelia yan daah mungu hata msaidia inshaallah😭😭😭
2026-07-21 13:17:56
9
Mr. Dovefx :
pole sana jaman mzazi anapitia maumivu kuliko toto mwenyewe jmn wazazi Mungu awajalie katika kila jambo
2026-07-22 08:42:17
6
Mwl Julius Kiwovele :
Nimegundua Africa tuna teknolojia ya juu sana
2026-07-20 16:03:31
19
HASSAN :
MI NAHISI WALA HAIUMI SEMA MTOTO ANALIA KWAKUA ALISHAJENGA HOF NA ALIVOONA MOTO NDO KABISAA ANAANGUA KILIO
2026-07-23 13:12:13
5
Alex Oleni :
niko na mwenzangu kaumia bivyo juzi
2026-07-21 11:46:37
18
Gcandy♊️ :
Sasa kama umeuvunja bila maumivu mbona mtoto analia
2026-07-20 19:45:40
16
user5442798587093 :
Kumbe wazungu walijua uwezo wetu Mamaee zao ...Wamefanya waafrica tuache maarifa yetu 😥😥😥
2026-07-20 18:11:11
5
THE TRUCK DRIVER :
mbona niliskia Aina maumivu
2026-07-21 15:29:14
5
To see more videos from user @mtoch_clinic, please go to the Tikwm
homepage.